Wapo wanawake 'katili'. Amuua mumewe, amkata vipande, na kumchemsha jikoni!

Huyo mama amefanya vizur sana na kama wangekuwepo akina mama kama hawa 1million katika dunia ingekuwa safi kukomesha wanaume mafedhuri
 
Napenda hilo neno kwa kuwa si kali; Hata wanangu nawaambia tu mdudu wananielewa. Kwa hiyo kwangu si la utotoni tu, have been using it since.

basi ndo umelisikia leo
mdudu ni neno la utoto zaidi...
unatukumbusha mbaali..
ulicheza baba na mama?kombolela????lol
 
mambo ya ndani ya nyumba saa nyingine yanakera sana,ila ya supu ni kubwa kuliko! ngoja asubuhi nimwonyeshe mtu asome aone kuna watu vichwa vimepinda mbaya!itakuwa huyo mama alichoka na mambo mengine pia akajumlisha na hilo la mtoto akaona supu ndio solution,bado nashangaa
 
NN am telling you hainaukatili kama unavyoichukulia! Uchungu wa mwana imagine awe ni mwanao wa miaka say minne au tano umkute mwanaume anakazana kumbaka, kama kuna silaha yoyote karibu ni rahisi kunyanyua aisee! Ikitokea ameua ndo akili inapanic anatafuta mbinu ya kuficha ushahidi.

MwanajamiiOne hapa umepotoka. Kitendo alichokifanya huyo mama ni cha ukatili no matter what.

Now, tunaweza tuka debate sababu zilizompelekea kufanya ukatili huo na pengine tukamwelewa lakini kusema kitendo alichokifanya si cha kikatili sikubaliani kabisa na wewe.

Kumuua binadamu mwenzako na kumkatakata vipande na kumpika ni ukatili all day long. Huwezi kabisa ukakiita kitendo kama hicho kuwa ni cha kawaida au ni cha kibinadamu.

Yaani kabisa unataka kuniambia kumuua na kumkatakata binadamu mwenzio na kumpika siyo ukatili? Like, seriously? Wow...just wow!
 
Ok NN uko sahihi lakino nafikiri tuangalie na definition ya ukatili kwa sababu kwangu mie nachukulia kuwa hata mume alikuwa mkatili kubaka mtoto wako nako si ukatili? Au sijaielewa hii habari mwe kidhungu nacho kigumu wajameni mie kwangu ni third language!

Pia tukumbuke kuwa kila mtu ana degree ya ukichaa its just a matter of pressing the right burton na kichaa anawezafanya lolote right!?

Mimi mwanaume anayembaka mtoto mdogo ni mwuuaji tu!
 
Ok NN uko sahihi lakino nafikiri tuangalie na definition ya ukatili kwa sababu kwangu mie nachukulia kuwa hata mume alikuwa mkatili kubaka mtoto wako nako si ukatili?

Ubakaji wa watoto na wenyewe ni ukatili na hilo mimi sibishi. Mtoto wa huyo mama kubakwa na huyo mumewe hakubatilishi kitendo alichokifanya huyo mama dhidi ya huyo mumewe.

Au sijaielewa hii habari mwe kidhungu nacho kigumu wajameni mie kwangu ni third language!

Nadhani umeielewa.

Pia tukumbuke kuwa kila mtu ana degree ya ukichaa its just a matter of pressing the right burton na kichaa anawezafanya lolote right!?

Ni kweli kabisa. Na sitashangaa kama huyo mama ana matatizo ya akili.

Mimi mwanaume anayembaka mtoto mdogo ni mwuuaji tu!

Kwenye hilo waka sina ubishi. Ubishi wangu uko kwenye kitendo cha huyo mama. Alichokifanya ni ukatili wa hali ya juu. Ni mara ngapi tunasikia mtu kauliwa kisha mwili wake unakatwakatwa vipande na kupikwa. Na si kupikwa kwa kuchemshwa tu. Na hadi kuwekewa viungo juu yake. That is heinous.

Hebu angalia CNN walivyoripoti uone na visu alivyotumia kufanikisha kazi yake.

Wife Turns Husband Into Stew - YouTube
 
Tusimlaumu sana huyu mama. Huwa ukiwa na hasira ni rahisi kuchukua uamuzi usioutarajia.
 
Tusimlaumu sana huyu mama. Huwa ukiwa na hasira ni rahisi kuchukua uamuzi usioutarajia.

Kwa hiyo asilaumiwe kwa ajili ya hasira? Kama ni hivyo basi wale wote ambao hutenda makosa wakiwa na hasira wasilaumiwe.
 
Hii ni ya kawaida tu, mbona Asha Mkwizu? pale Upanga alifanya kitu kama hii???

dahh, acha kabisa...ukumbusho wa mtaani miaka hiyo.
lakini yeye alifanyiza kwa nyumba ndogo ya profesa bana.

...wanadamu huenda tuna 'animal insticts' ambazo zikichokozwa na kufumuka huko
ziliko, si ajabu kabisa kufanya mambo ya ajabu kama haya.

...mama Haule alikuwa ni mmoja wa wamama wastaarabu sana mtaani.
 
Au anamwingilia mtoto wako wa kiume, kweli unamla kama sushi

Lakini yawezekana ukifikiria sana mwanamke anaweza kujikuta yuko justified. Hivi tuseme ni nini hasa?

a. Dharau kwa mke
b. Kutokujali hisia za mke
c. Kutaka kula kuku na mayai yake?

Hivi mtu wa namna hiyo nini kinamzuia kumuingilia binti yake mwenyewe? Maana baadhi ya siri kubwa sana za familia ni hizi za mambo ya incest; kaka na dada au baba na binti!? Sasa kweli mke uje kugundua mumeo anamuingilia binti yako utafanya nini?
 
Reaction zetu hutofautiana, yeye aliona hiyo ya kumchop inafaa kwa wakati huo.
She was provoked akafikia point ya Temporary insanity

Mimi nina acquaintance ambaye alifanya hivyo lakini mkewe hakumuua na kumkata vipande vipande na kisha kuvichemsha hivyo vipande.
 
Reaction zetu hutofautiana, yeye aliona hiyo ya kumchop inafaa kwa wakati huo.
She was provoked akafikia point ya Temporary insanity


Watu wa humu hamuachi kunishangaza. Yaani mna condone kabisa alichokifanya huyo mwanamke wa Pakistan?

Ama kweli ndo maana wengine wananiona mimi ni mtu wa ajabu humu kwa sababu mara 99 kati ya 100 huwa niko tofauti na 'mainstream MMU love-relationship thought'

Kaazi kweri kweri!
 
Uchungu wa jianamme kumuingilia binti yangu..I can kill, chemsha and eat the man!
Who does he think he is?
Duuuuh lakin ni limwaaume lako sasa umeamua kuishi nalo inakuwaje hapo.Labda hauweki mambo yako kwake vizuri hadi anatamani mwana uliyekuja nae...!!
 
Napenda hilo neno kwa kuwa si kali; Hata wanangu nawaambia tu mdudu wananielewa. Kwa hiyo kwangu si la utotoni tu, have being using it since.

Vipi unapowasiliana na mr. kuhusu hicho kifaa unatumia hilo neno la mdudu pia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom