Sawa sawa hapo nimekupata vyema.Kuna yule ambae unakwichikwichi kukata juu kwakua Kilimanjaro water huyaoni
We unadhani atakwambia anataka ya kukwichikwichi siku mbili?Siku hivi huwa nauliza kwa mwanaume yeyote anaenihitaj anataka mahusiano ya aina gani kabla cjamkubal
Siku hizi wanasema ukibana miguu sahau kuolewa, hakuna mtu ananunua mbuzi kwenye salfeti. Maisha haya bwana, mna raha mliokwishaolewaga kitambo na akina AsprinWanaosema short term ni wachzche sana. Ukitaka kumjua bana miguu.
hapo sky sijakuelewa yaani mwanaume uimmbannia kumpa penzi ndiyo anapata motisha wakati wengine unaweza ukajikuta unmpenda zaidi mwanamke na kuingia kwenye ndoa mara tu unapoonja penzi lakeMuoaji ukimbania anapata motisha zaidi
Khantwe I really love you ila nataka tukwichikwichi lakini sikuwowi.Siku hizi wanasema ukibana miguu sahau kuolewa, hakuna mtu ananunua mbuzi kwenye salfeti. Maisha haya bwana, mna raha mliokwishaolewaga kitambo na akina Asprin
Haha anaweza kukubali mwanzoni akijua mwisho wa siku utatoa tuMuoaji ukimbania anapata motisha zaidi
Ukuje tukwichikwichiKhantwe I really love you ila nataka tukwichikwichi lakini sikuwowi.
mwanamke anauchawi wa mapenzi