Ok ila punguza jazba na kejeli katika kujenga hoja.
Ukikutwa unagombana na kichaa we ndo utaonekana mjinga.
Ndugu mgalatia usie na akili! Ni nani aliekuloga?
Wapi nimeandika kuwa mauwaji yanayotokea Huko yanasababishwa na WAKRISTO?
Hivi kwanini makafiri kusema uongo mmegeuza ibada?
We endelea kumwaga mapovu lkn kumbuka hizo ndoa zenu za jinsia moja mnazo zipigia promo kila siku zitaingia mpk ndani ya majumba yenu.
Siku ukijaombwa uvalishwe sheli usijetupa ngumi hewani tu.
Bado sijaelewa ni kwa nn migogoro ambayo hata kama ni ya kikabila ama kikoo (somalia, yemen) inahusishwa na dini.. Bado pia sijaelewa kwann watu hawataki kuwa responsible kwa matendo yao maovu wanasingizia wengine.. Mathalani wale jamaa waliomchoma moto rubani wa jordani huku wana rikodi laivu nao walilazimishwa kufanya hivyo na makafiri? Wale wale walioteka askari wa syria wiki iliyopita wakawalaza kifudi fudi kuwapiga risasi za utosini (hawa wote ni dini moja) yote hayo lawama ni kwa makafiri? Naomba kueleweshwa hapo
Una laana ww, unachowaza kichwani kwako ni ndoa za jinsia moja tu, nani kakwambia mm naunga mkono ndoa za aina hiyo? Nijuavyo mm haya matendo ya kifirauni yalianzia huko Arabuni na sasq yamesambaa sana sehemu za mwambao wa pwani, kuanzia Mombasa, Zanzibar mpaka huku Dar ambapo dini yq kishetwani imetamalaki!😕
nadhani hii sio namana nzuri ya kutoa hoja especialy kwa great thinker, ni vizuri lugha nzuri ikatumika na kila mtu akaheshimu imani ya mwenzake, cha msingi tubishane kwa hoja na facts,sisi sote tu watanzania,hapana haja ya kubaguana kidini, na yeyote anaeleta aina hii ya ubaguzi yapasa tumpinge kwa nguvu zote,hata awe ni kiongozi au mgombea, umoja wetu na amani yetu tuvidumishe ili tusifike huko walipofika wenzetu