Wapo njiani kwenda Europe.

Wapo njiani kwenda Europe.

Ok ila punguza jazba na kejeli katika kujenga hoja.

Ukikutwa unagombana na kichaa we ndo utaonekana mjinga.

Ningekuona wa maana sana km ungeanza kumpa ushauri huu huyo muefeso alieanza matusi.

Huyo sio kichaa bali ni pepo mchafu anaehitaji kusafishwa na maji makali.
 
Bado sijaelewa ni kwa nn migogoro ambayo hata kama ni ya kikabila ama kikoo (somalia, yemen) inahusishwa na dini.. Bado pia sijaelewa kwann watu hawataki kuwa responsible kwa matendo yao maovu wanasingizia wengine.. Mathalani wale jamaa waliomchoma moto rubani wa jordani huku wana rikodi laivu nao walilazimishwa kufanya hivyo na makafiri? Wale wale walioteka askari wa syria wiki iliyopita wakawalaza kifudi fudi kuwapiga risasi za utosini (hawa wote ni dini moja) yote hayo lawama ni kwa makafiri? Naomba kueleweshwa hapo
 
Ndugu mgalatia usie na akili! Ni nani aliekuloga?
Wapi nimeandika kuwa mauwaji yanayotokea Huko yanasababishwa na WAKRISTO?

Hivi kwanini makafiri kusema uongo mmegeuza ibada?

We endelea kumwaga mapovu lkn kumbuka hizo ndoa zenu za jinsia moja mnazo zipigia promo kila siku zitaingia mpk ndani ya majumba yenu.
Siku ukijaombwa uvalishwe sheli usijetupa ngumi hewani tu.

Una laana ww, unachowaza kichwani kwako ni ndoa za jinsia moja tu, nani kakwambia mm naunga mkono ndoa za aina hiyo? Nijuavyo mm haya matendo ya kifirauni yalianzia huko Arabuni na sasq yamesambaa sana sehemu za mwambao wa pwani, kuanzia Mombasa, Zanzibar mpaka huku Dar ambapo dini yq kishetwani imetamalaki!😕
 
Bado sijaelewa ni kwa nn migogoro ambayo hata kama ni ya kikabila ama kikoo (somalia, yemen) inahusishwa na dini.. Bado pia sijaelewa kwann watu hawataki kuwa responsible kwa matendo yao maovu wanasingizia wengine.. Mathalani wale jamaa waliomchoma moto rubani wa jordani huku wana rikodi laivu nao walilazimishwa kufanya hivyo na makafiri? Wale wale walioteka askari wa syria wiki iliyopita wakawalaza kifudi fudi kuwapiga risasi za utosini (hawa wote ni dini moja) yote hayo lawama ni kwa makafiri? Naomba kueleweshwa hapo

Waliofanya hayo matendo yote ulioyataja hapo juu ndio hao hao MAKAFIRI.
Kuvaa kilemba na Kufuga ndevu sio alama ya Dini.

Kuimba kwaya au kujiita Nabii sio alama ya Dini.

Wachungaji wangapi wamekamatwa na kesi za KULAWITI WATOTO?
Vipi uulaumu UKRISTO ambao haujamwambia Padri au Mchungaji Akabake?

Tatizo la Watu wengi mliomo humu Hamjui maana ya MAKAFIRI!
Pateni elimu japo kidogo ndio mtafahamu nini maana ya K.AFIRI.
 
Una laana ww, unachowaza kichwani kwako ni ndoa za jinsia moja tu, nani kakwambia mm naunga mkono ndoa za aina hiyo? Nijuavyo mm haya matendo ya kifirauni yalianzia huko Arabuni na sasq yamesambaa sana sehemu za mwambao wa pwani, kuanzia Mombasa, Zanzibar mpaka huku Dar ambapo dini yq kishetwani imetamalaki!😕

Wewe siwezi kukulaumu.
Nalaumu wazee wako waliokukosesha elimu ya Dunia.
Unakosa hata aibu kwa kusema "ujuavyo wewe"!
Ingekuwa watu wanaacha UKWELI na Elimu zenye mashiko na Kusema Wayajuayo wao hii dunia ingekuwa mahala pabaya sana.

Unadai Mikoa ya pwani imejaa ndoa za kishoga, hali ya kuwa Huna ushahidi wwt wenye Mashiko.
Wakati huo huo Dunia nzima Ndoa za Jinsia moja zimetapakaa NDANI YA MAKANISA. na Hilo linajulikana hata kwa mtu ambae hajaenda Shule.

Amka we Mgalatia kabla Hizi ndoa hazijawa Ni LAZIMA kwa Kila Mgalatia.
Shauri yako.
We endelea kujamba ovyo tu.
 
nadhani hii sio namana nzuri ya kutoa hoja especialy kwa great thinker, ni vizuri lugha nzuri ikatumika na kila mtu akaheshimu imani ya mwenzake, cha msingi tubishane kwa hoja na facts,sisi sote tu watanzania,hapana haja ya kubaguana kidini, na yeyote anaeleta aina hii ya ubaguzi yapasa tumpinge kwa nguvu zote,hata awe ni kiongozi au mgombea, umoja wetu na amani yetu tuvidumishe ili tusifike huko walipofika wenzetu

wapumbavu maamina kabisa. wanajadili tatizo la kisiasa hawajui wanatengeza ubaguzi wa dini

wapi wanao argue poa Sana, kupenda kubaki madarakani kwa mbinu dhaifu hupelekea kuchokwa. baadae unaamuru jeshi kuwaua unayodhani wanafanya fujo, hali ya kuwa democracy imebakwa
 
ni iman za kishetani mkuu

inasikitisha Sana, maofisini hizi imani baguzi zipo sehemu za kazi, baadhi ya maofisini. mm na imani yangu nawaonaga watu hawa maboya sana
 
Back
Top Bottom