nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,901
- 14,611
kweli kabisa mkuu ni jambo la huzuni sana....Na juzi rais hasad kawapulizia sumu ya chlorine wananchi wake....watoto wamefariki bila ata kuwa na jeraho...nliangalia mpaka chakula kikagoma kipita....vita sio kitu cha kushadadia ata kidogo
Cc.Nyinyiem