Hakuna nchi ambayo kila kitu kinaenda sawa.Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.
Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.
Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!
Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.
Time will tell.
Unauliza maswali ya kipuuzi kwa kuwa unaowadefend wanakushangilia? Acha ujinga kauli za chuki zinagawanya watu, wewe kama unaona mambo yanaenda inavyotakiwa kuna wanaoona tofauti! Pambafff tena kwa mara ya pili!Daa kiongozi dont panic one colour one nation hakuna haja ya lugha zisizo na staha.
Ila sio kupinga hata vizuriKwani ukishasema upinzani unajua kazi yao ni nini?? Ukipata jibu kadai ela ako ya ada somo la civics
Kwani ukishasema upinzani unajua kazi yao ni nini?? Ukipata jibu kadai ela ako ya ada somo la civics
Kama la kipuuzi si unasoma kimoyomoyo tu na kupita MtaalamuUnauliza maswali ya kipuuzi kwa kuwa unaowadefend wanakushangilia? Acha ujinga kauli za chuki zinagawanya watu, wewe kama unaona mambo yanaenda inavyotakiwa kuna wanaoona tofauti! Pambafff tena kwa mara ya pili!
Kufananisha tawala za waliokwisha kustaarabka na tawala za kina sezonje wanaojaribu kutawala ni sawa na kulinganisha mwimba taarabu na mwimba qaswida!Kama la kipuuzi si unasoma kimoyomoyo tu na kupita Mtaalamu
Sio lazima uguse viandikio
Ref...tangu Trump ashike madaraka umesikia Bi.Hillary Clinton akiendelea na mikutanob ya kampeni.
Wananchi wanamacho hakuna haja ya mikutano kila mtu anaona yanaondelea kwa sasa nchini.
#Kafulila#Mosha
Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.
Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.
Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!
Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.
Time will tell.
Kwa malengo ya kutoa wanachama wake katika dirisha la usajili kwenda kufanya siasa ndani ya chama dola kwa kuwa siasa hairuhusiwi kufanyika nje ya chama dola!Kwani vyama vya siasa vipo kwa malengo gani?
Vyama vya Siasa au vya Upinzani?ukisema vya siasa hata Ccm ni chama cha Siasa kilichoshika dola kwa sasa.Huyu naye utaambiwa ana degree Wakati maana halisi ya vyama vya siasa hajui.... my country... my people
Wameambiwa wakafanye Siasa kwenye Majimbo yao.Mtoa Mada jipange upya maana umejiziba macho na masikio kwenye hili. Kimsingi CCM haipaswi kuhofia upinzani kinyume chake ingeacha free political platform ili iweze kufanya mazuri zaidi. Wapinzani wanayo ya kutuambia ambayo CCM ingeyapokea Kama changamoto katka kufanikisha malengo ya chama.
Huongozi nchi kwa kufuata sheria zako za mfukoni; mikutano na shughuli za kisiasa katiba umeamka wazi.Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.
Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.
Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!
Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.
Time will tell.
Kuna Law na By law eventhough hata kama vitu vingine vipo kwenye Katiba sio lazima vifuatwe kama havina msingi.Huongozi nchi kwa kufuata sheria zako za mfukoni; mikutano na shughuli za kisiasa katiba umeamka wazi.
Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.
Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.
Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!
Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.
Time will tell.
Kitu gani kinaenda sawa kwa mujibu WA katiba?Hongera Rais kwa Maendeleo chanya yanayooneka na kufanya chaguzi mbalimbali za viongozi bila kujali itakadi za vyama:Ref Dr Slaa,Mama Mwigira.
Pamoja na mazuri yote hayo ila bado Wapinzani wanaona hakuna mazuri unayoyafanya ajenda yao kubwa imekua ni wewe kuruhusu mikutano ya kisiasa and all in all hiyo mikutano haijanyimwa ila ni kwamba kila mtu afanye kwenye jimbo lake la uchaguzi.
Swali ni Je Wapinzani wanalilia hiyo Mikutano ili nini??na wakati kila kitu kinaenda sawa!
Nb...Dr Slaa atarudi CCM rasmi na kugombea ubunge tena jimbo la karatu na kupewa Uwaziri ila sijui utakua wa nini.
Time will tell.
Sawa kwa hoja yako hiyo ni bora ya majibu uliyopewa mkuuuDaa kiongozi dont panic one colour one nation hakuna haja ya lugha zisizo na staha.
Kustaarabika wangekua na Racial segregation, Weusi wasingepigwa Risasi kama wamestaarabika.Kufananisha tawala za waliokwisha kustaarabka na tawala za kina sezonje wanaojaribu kutawala ni sawa na kulinganisha mwimba taarabu na mwimba qaswida!