Tetesi: Wapinzani walionunuliwa na Polepole kuanza kuanikwa muda wowote

Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.

Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu rushwa. Rushwa ambayo itazunguzmwa ni ile ya Chakubanga kshiriki zoezi ovu la kununua wabunge na viongozi wa upinzani.

Kwa hiyo Ndugu Chakubanga ukiwa unaandaa bomu kuwalipua wahuni basi andaa majibu ya rushwa ulizowapa wapinzani
Polepole alikuwa na mabilioni ya kununua Wale wahuni?!!
Mnunuzi alikuwa mwingine, polepole mtekelezaji tu
 
Polepole na musiba zama zile wanaingiza pesa fully kicheko, chance ya kurudi mezani hana kabakia povu.
Sio lazima uwe mwanasiasa Ili maisha yaende.
 
Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.

Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu rushwa. Rushwa ambayo itazunguzmwa ni ile ya Chakubanga kshiriki zoezi ovu la kununua wabunge na viongozi wa upinzani.

Kwa hiyo Ndugu Chakubanga ukiwa unaandaa bomu kuwalipua wahuni basi andaa majibu ya rushwa ulizowapa wapinzani
Ndio maana naipinga hiyo sura mpya ya Polepole, sitaki hata kuzisikia hoja zake. Hana usafi unaopaswa kuongoza maongezi yake yote mbele ya vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom