Tetesi: Wapinzani walionunuliwa na Polepole kuanza kuanikwa muda wowote

Polepole ndie aliyekuwa Dalali wa kuwaandaa wasanii kede kede ikiwemo kushika fuko la hela wakati wa uchaguzi atuambie ikiwemo Dalali wa kuwatongoza waunga juhudi.So hawezi jitenga na hili
Sasa kwa akili yako unadhami wahuni wanaweza kuchomo kibanda walichomo?
 
Vita ya "wahuni" na Kiroboto bado inaendelea. Upande wa "wahuni" kwa sasa umevuta pumzi baada ya mshale uliorushwa na Bulembo.

Taarifa zinasema kwamba upande unasikilizia kama mshale wa Bulembo utajibiwa. Na kama ukijibiwa na Chakubanga basi utakuwa muda muafaka kuhoji kama Uzalendo unaruhusu rushwa. Rushwa ambayo itazunguzmwa ni ile ya Chakubanga kshiriki zoezi ovu la kununua wabunge na viongozi wa upinzani.

Kwa hiyo Ndugu Chakubanga ukiwa unaandaa bomu kuwalipua wahuni basi andaa majibu ya rushwa ulizowapa wapinzani
Mimi naanza na huyu.
images (24).jpeg
 
Walinunuliwa na Polepole?! Au unamanisha CCM ndio ilikua inawanunua ? Kwani biashara ya utumwa bado ipo! Btw wahuni hawawezi kufika huko kwani kiroboto hakutoa pesa yake mfukoni. Itakua kukichafua chama na hao wapinzani wenyewe ambao hawawezi kukubali. Sisi tunajua walingua wanaunga juhudi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni post ya hovyo kutokea kuliko zote Duniani.

Hivi utakuwa afisa masoko wa kampuni ushindwe kushawishi watu watumie huduma za kampuni yako au kujiunga na kampuni yako?

Nafasi ya katibu mwenezi kwenye chama ni sawa na afisa masoko kwenye makampuni ambao hutembea na watu wa promotion kuuza bidhaa za kampuni kwa bei ndogo au kutoa bure lengo ni kushawishi watu kujiunga na huduma za kampuni hiyo

Kuweza kushawishi wapinzani ni credit kubwa sana kwake kama afisa madoko wa chama na ndio maana asilimia kubwa wana vyeo vikubwa kama mawaziri maana yake alileta asserts na sii liability
Ingekuwa aliwanunua kwa kuwashawishi basi angekuwa aliifanya kazi yake vyema. Ila aliwalazimisha wajiuze na wote waliokataa walishughulikiwa
 
Wote walionunuliwa tunawajua
Kuanzia tumbili Hadi nyani.
Manaibu waziri 3
Wakuu wa mikoa 1
Wakuu wa wilaya zaidi ya 5
Mzee Halima & co. 19
 
Upumbavu tu!

Kwa hiyo wakianikwa ndio chadema itainuka?
Gaidi atatoka jela?

Na kwanini wapinzni mjiuze?
Vijana wa BUKU 7 kushney Babu jiiii..
Mama kagoma kutoa bajeti ya BUKU 7.
Mfanye kazi za jasho mpate hela.
Hataki siasa za kuchafuana
 
Back
Top Bottom