Wapinzani na serikali tatu, kuna nini?

Wapinzani na serikali tatu, kuna nini?

Mwakyonde

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
244
Reaction score
37
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?

Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuing'oa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa?

Kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CHADEMA, na CHADEMA wanafahamu hilo, yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui.

Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo?

USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.

Hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu?

Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU.

Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.
 
Zanzibara wanataka kurudisha utawala wa sultani aliyepinduliwa wanajua kuwa serikali tatu zitavunja muungao hivyo kufanya lolote.

kwa huku bara pia ipo agenda ya siri ambayo wengi hamuijui eti muungano ukivunjika chadema watashinda kirahisi bara na cuf zanzibar,sasa hii akili au matope.
 
Serikali tau ni tatizo kubwa kweli tutakumbana na matatizo makubwa sana ambayo wapinzani wanapenda yatokee kwao vurugu ni mtaji.
 
Lipumba kampeni misikitini, Mbowe makanisani na TEC afadhali kule.
 
That's what we call Political Hypocrisy..

k8605.gif
 
Mtoa mada hujakosea ila hali inabadilika kwa sababu chama tawala kimekosa dira. Azimio la Arusha lingekuwa hai hali hii isingetokea kabisa. Zanzibar wameamua kuwa nchi na bara imeshakubali sasa hizi nchi mbili zishirikianeje?
Kwa sababu sisi ni ndugu hata muungano ukivunjika huo undugu hauwezi kupotea kamwe, tutaendelea kuoana, kufanya biashara pamoja, kutembeleana n.k.
 
Serikali tau ni tatizo kubwa kweli tutakumbana na matatizo makubwa sana ambayo wapinzani wanapenda yatokee kwao vurugu ni mtaji.

Hata serikali 2 ni tatizo ndiyo maana malalamiko ya kero ya Muungano hayaishi. Suluhisho la kweli ni serikali moja tu ya Mungano, cha ajabu CCM haitaki kusikia habari ya serikali moja. Kwanini CCM inataka serikali 2 isiwe serikali moja?
 
Zanzibara wanataka kurudisha utawala wa sultani aliyepinduliwa wanajua kuwa serikali tatu zitavunja muungao hivyo kufanya lolote.

kwa huku bara pia ipo agenda ya siri ambayo wengi hamuijui eti muungano ukivunjika chadema watashinda kirahisi bara na cuf zanzibar,sasa hii akili au matope.

Kwanini huzungumzii wasiwasi wa ccm kushindwa uchaguzi pande zote za muungano iwapo serikali tatu zitapita kama ilivyo pendekezwa na Tume.

Na kwanini kama unaakili timamu hamjiulizi kuwa time zote zilizoundwa huko nyuma zilikuja na mapendekezo kama haya ya serikali tatu. Na mara zote wapingaji wa mapendekezo hayo wamekuwa ni wale wale yaani ccm

Je hawa watu hawanufaiki namfumo uliopo. je hujiulizi kwanini wakati wa utungaji wa sheria ya kusimamia mchakato wa katiba mpya ccm ilipinga watu kuhoji juu ya muungano.

Je kama muungano huu unamanufaa kwa wananchi wa pande zote kwanini ccm wawe na hofu ya kuandaa kura ya maoni juu ya muundo upi wa muungano wanaoutaka wananchi Maana jambo la maslahi ya wananchi litalindwa na wao wenyewe bila kuwepo mtu wa kuwasemea. Amini amini nakuambia mtu autaasisi yenye maslahi na muundo wa muungano ni wanaccm na chama chao na kwahili nakuambia hawawezi kulegeza kamba.

Kwani hatua yoyote ya kupendekeza muundo tofauti na huu wa serikali mbili ni kifo chao na hili maccm hawakotayari kuona likitokea Hapa suluhisho ni kukinukisha tu hakuna namna Tanzania ilikuwa ipokee mabadiliko miaka mingi iliyopita ila kwasababu ya uwepo wa hili dudu imekuwa ni ndoto isiyo timia kila ifukapo kipindi cha uchaguzi.

BACK TANGANYIKA
 
Jamani eeh mimi sio CCM and will never be!! hate them.. but wait a minute kwa nini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa? wapinzania hawajawahi kua pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuingoa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa? kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CDM, na CDM wanafahamu hilo yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui. Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo? USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA. hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu? tuwe watanganyika au wa zanzibar. Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU nitakua wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayo itishwa na wapinzani. hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.

kwasababu umma unahitaji serikali tatu na takwimu zilizokusanywa na tume ya Warioba zinaonyesha kuwa raiya wanahitaji serikali tatu.
wapinzani wanasimamia maoni ya umma.
 
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?

Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuing'oa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa?

Kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CHADEMA, na CHADEMA wanafahamu hilo, yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui.

Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo?

USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.

Hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu?

Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU.

Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.

Wewe utakuwa na AKILI ZA MAITI Maoni ya Serikali 3 sio ya vyama vya Upinzani ni maoni ya Watanzania na vyama vya upinzani vinasimamia nini Watanzania wanataka kwani mapendekezo haya yapo Katika Rasimu hii ya 2 iliyowasilishwa na Warioba.
 
Kwa nini mtoa mada una mtazamo kuwa CHADEMA ndio wanaotaka serikali 3? Kwani hili halipo kwenye rasimu ya tume, ambayo ni mawazo ya watu tofauti?

Serikali moja ni wazo zuri, je mtazamo wa Zanzibar ukoje kwenye hili?
 
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?

Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuing'oa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa?

Kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CHADEMA, na CHADEMA wanafahamu hilo, yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui.

Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo?

USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.

Hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu?

Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU.

Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.

Hadi sasa wewe ni f***in' looser.
 
Mimi nadhani watu wengi hawaelewi ni kwa nini tunataka serikali tatu..issue kubwa ni tanganyika.tanganyika iko wapi katika huu muungano..?kama ni serikali mbili basi iwe zanzibar visiwani na tanganyika.je hii tanzania bara inatoka wapi..?sijui nyerere alimshirikisha nani katika maamuzi yake ya ajabu ya kutuchuuza watanganyika kwa wazanzibar.issue sio chadema wala ccm.tunataka tanganyika yetu..tumechoka kuishi katika nchi ya watu we need to go back to our beloved country and meet our beloved ancestors......wazanzibar na nyinyi mrudi kwenu.
 
Na mimi najiuliaza, huu muungano feki unamasilahi gani kwetu watanganyika!? Ni kwa nini unang'ang'aniwa!? Kuna nini!?
 
Wewe utakuwa na AKILI ZA MAITI Maoni ya Serikali 3 sio ya vyama vya Upinzani ni maoni ya Watanzania na vyama vya upinzani vinasimamia nini Watanzania wanataka kwani mapendekezo haya yapo Katika Rasimu hii ya 2 iliyowasilishwa na Warioba.
maoni kitu wewe -----! soma kwa kina nilicho andika inawezekana questionare zilikua ktk hali ya ku manupulate majibu ya tume. lakini kama umeelewa nilichoandika usingetukana, otherwise hata mama yako unamtukana. nimetoa faida za muuangano wananchi waliambiwa faida za muungano? au ume kariri maoni ya wananchi dumb ass
 
Hadi sasa wewe ni f***in' looser.

utakua mwanasiasa na wewe! wengi wenu ni maslahi binafsi sio watu, CCM , CUF, CDM wale wale. soma nilichoandika kwanza, nchi zote tajiri ardhi na watu ndi msingi wao.. nyerere alikua great thinker kuliko hizi takata ninazoziona kwenye TV bungeni siku hizi ambazo wewe unashabikia. ass hole
 
kwasababu umma unahitaji serikali tatu na takwimu zilizokusanywa na tume ya Warioba zinaonyesha kuwa raiya wanahitaji serikali tatu.
wapinzani wanasimamia maoni ya umma.

Umma upi huo mkuu? Takwimu zinaonesha watu 37,000 sawa na 0.08% ya watanzania 45,000,000 nchi nzima ndio waliotaka Serikali 3! Sasa kuna haja gani za kuvimba vichwa na kuunda UKAWA ili kutetea 0.08% kwa kigezo kwamba eti "umma" umeamua? Something is wrong somewhere!
 
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?

Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuing'oa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa?

Kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CHADEMA, na CHADEMA wanafahamu hilo, yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui.

Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo?

USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.

Hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu?

Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU.

Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.
Siyo wapinzani wanaotaka serikali 3 bali ni rasimu iliyowasilishwa na Tume iliyoundwa na CCM. hivyo wanaccm waliowengi ndio tunaotaka serikali 3. Baadhi ya wachumia tumbo wanaoogopa mabadiliko wanapotosha ukweli huu.
 
Back
Top Bottom