Wapinzani na serikali tatu, kuna nini?

Wapinzani na serikali tatu, kuna nini?

nimekuelewa mkuu,sasa wamependekez vyam gani mkuu naomba unijuz
 
Eti mnataka serikali tatu...? Kwa vyanzo gani hasa vya mapato mpaka zanzibar iwezeze kuchangia serikali ya muungano? Hapa kinachoonekana ni kuridhisha wanasiasa wenye uchu wa madaraka tu kwani gharama ya maisha zitapanda kama wanavyolia wenzetu wa kenya maana serikali ya muungano haina vyanzo vya mapato sasa ili kufidia hayo kitakachofuata kodi nyingi zitakazo umiza wananchi. Enyi viongozi wenye uchu wa madaraka acheni kupotosha umma. Sisi wananchi tunataka maisha bora tu si uwingi wa serikali

acha kupotosha watu kwa uvivu wako wa kufikiri. Hivi mpaka leo hujui kuwa muungano siyo wa kila kitu? Maeneo ya muungano ni ulinzi, fedha na nyingine tatu. Na wizara hizo zina bajeti yake toka mwaka 1964. Hizo gharama nyinginezo unazoziogopa wewe na wengine wa aina yako ni zipi kama hulengi kupotosha ukweli? Zanzibar wanajitosheleza na hawana mikopo ya kipuuzi kama hii serikali yenu ya sasa na wanaweza kuchangia bila shaka. Acheni kupotosha enyi wenye uchu wa madaraka (ccm)!
 
Eti mnataka serikali tatu...? Kwa vyanzo gani hasa vya mapato mpaka zanzibar iwezeze kuchangia serikali ya muungano? Hapa kinachoonekana ni kuridhisha wanasiasa wenye uchu wa madaraka tu kwani gharama ya maisha zitapanda kama wanavyolia wenzetu wa kenya maana serikali ya muungano haina vyanzo vya mapato sasa ili kufidia hayo kitakachofuata kodi nyingi zitakazo umiza wananchi. Enyi viongozi wenye uchu wa madaraka acheni kupotosha umma. Sisi wananchi tunataka maisha bora tu si uwingi wa serikali

Itakapopata Tanganyika na Zanzibar itapata hukohuko.Mmeshaambiwa zitachangia kwa uwiano na siyo nusu kwa nusu.Mbona hamuelewi nyie vilaza?
 
Eti mnataka serikali tatu...? Kwa vyanzo gani hasa vya mapato mpaka zanzibar iwezeze kuchangia serikali ya muungano? Hapa kinachoonekana ni kuridhisha wanasiasa wenye uchu wa madaraka tu kwani gharama ya maisha zitapanda kama wanavyolia wenzetu wa kenya maana serikali ya muungano haina vyanzo vya mapato sasa ili kufidia hayo kitakachofuata kodi nyingi zitakazo umiza wananchi. Enyi viongozi wenye uchu wa madaraka acheni kupotosha umma. Sisi wananchi tunataka maisha bora tu si uwingi wa serikali

uwezo wa kutokuchangia itautoa wapi ?
 
Mimi Mtanganyika Halisi..avator yangu inahusika!!!
 
Eti mnataka serikali tatu...? Kwa vyanzo gani hasa vya mapato mpaka zanzibar iwezeze kuchangia serikali ya muungano? Hapa kinachoonekana ni kuridhisha wanasiasa wenye uchu wa madaraka tu kwani gharama ya maisha zitapanda kama wanavyolia wenzetu wa kenya maana serikali ya muungano haina vyanzo vya mapato sasa ili kufidia hayo kitakachofuata kodi nyingi zitakazo umiza wananchi. Enyi viongozi wenye uchu wa madaraka acheni kupotosha umma. Sisi wananchi tunataka maisha bora tu si uwingi wa serikali

Mafuta na utalii wa zanzibar unawatosha kujitegemea.
 
Bajeti ya znz kwa kwa sasa haifikii hata bajeti ya wizara ya ulinzi kwa sasa. Hivyo vyanzo vipya ni vipi hasa mpaka watake uwepo wa serikali ya tanganyika au ndiyo kutaka watu wa bara tukomolewe kwa kodi ili kuendesha serikali ya muungano?
 
Eti mnataka serikali tatu...? Kwa vyanzo gani hasa vya mapato mpaka zanzibar iwezeze kuchangia serikali ya muungano? Hapa kinachoonekana ni kuridhisha wanasiasa wenye uchu wa madaraka tu kwani gharama ya maisha zitapanda kama wanavyolia wenzetu wa kenya maana serikali ya muungano haina vyanzo vya mapato sasa ili kufidia hayo kitakachofuata kodi nyingi zitakazo umiza wananchi. Enyi viongozi wenye uchu wa madaraka acheni kupotosha umma. Sisi wananchi tunataka maisha bora tu si uwingi wa serikali

Miaka 50 kumekuwepo na Serikali 2, vipi kuhusu viashiria vya maisha bora, Kenya hakuna Seikali 3. Ili kulinda hii kitu ni busara zaidi kama ingekuwa Serikali 1.
 
wandug wa jf hivi wanavyo sema serikali tatu ni maana vyama tatu au nin,naombeni msaada wenu

Hapana mkuu, serikali tatu ina maana nchi tatu, ambazo ni Tanganyika, Zanzibar na nchi ya tatu bado wanaitafuta, ni kati ya Mauritius na Comoro!
 
Ni rahisi zaidi kutoka kwenye mbili kwenda moja kuliko tatu kwenda moja kikubwa ardhi liwe jambo la muungano ndipo utakapoona utanganyika na uzanzibar unafia huko omani na uingereza.
 
kikwete aliapa kuilinda katiba ya muungano na zanzibar ilivunja katiba ya muungano na kikwete akishuhudia sasa kama mnataka serikali mbili kikwete aisimamishe katiba ya zanzibar ya 2010 ndipo tuanze mjadala na kama akishindwa tanganyika irudi.
 
Miaka 50 kumekuwepo na Serikali 2, vipi kuhusu viashiria vya maisha bora, Kenya hakuna Seikali 3. Ili kulinda hii kitu ni busara zaidi kama ingekuwa Serikali 1.

Kabisaaaa...yani suluhisho la kudumu la kero za muungano ni serikali moja tu baaaas!
 
Kwanini wapinzani wamenga'nga'na sana na swala la serikali tatu? Ni kweli ni kwa ajili ya maslahi ya watanzania au maslahi ya kisiasa?

Wapinzania hawajawahi kuwa pamoja kwenye maswala ya msingi wala hata kuungana tu kwenye chaguzi ili kutengeneza nguvu ya kuing'oa CCM, ila hapa kwenye serikali 3 wamekua pamoja hasa?

Kwenye kampeni za Lipumba misikitini anawaponda CHADEMA, na CHADEMA wanafahamu hilo, yaani hawa jamaa nje ya malumbano ya serikali 3 ni maadui.

Kwanini tusilazimishe serikali 1 au turekebishe makosa yaliyopo?

USA ilinunua Alaska na New Mexico ili kujiongezea rasilimali watu na ardhi, Huyu Nyerere ambaye wapinzani wanajidai kumuenzi alisema ili tuendelee tunahitaji WATU, ARDHI, SIASA SAFI NA UONGOZI BORA.

Hapa tunachokosa ni SIASA SAFI NA UONGOZI BORA sasa tuna sababu gani ya kupunguza ardhi na rasilimali watu?

Tukirekebisha kasoro za muungano na wapinzani wakasimamia maswala ya msingi ya nchi hii ambayo CCM wamekua wakibabaisha kama UFISADI ULIOKITHIRI, RUSHWA ELIMU DUNI NA MENGINE LUKUKI TUNAYAFAHAMU.

Nitakuwa wa mstari wa mbele kwenye maandano yatakayoitishwa na wapinzani. Hili la serikali 3 likifanikiwa we will be the f***in' loosers.

Anayetetea hoja isiyo na mashiko ya muundo wa serikali tatu hana tofauti kabisa na anayetaka kuuvunja muungano. Uliona wapi wanaojiita wanandoa kila mmoja akaishi kivyake kisha ukateua middle man (serikali ya tatu) akawa anaratibisha mahusiano yao sasa useme hapo kuna ndoa?
 
Mutambuwe Muungano Sio Zege Wala Saruji Ni Mchanga Ambao Unaweza Kuondoka, Ukabaki Au Kurekebishwa Lazm Wajumbe Wakae Chini Na Kutoa Maamuz Mazuri Kwa Ajili Ya Wazanzbr Muungano Pamoja Na Tanganyika Kwanza.
 
Back
Top Bottom