Wapinzani na serikali tatu, kuna nini?

Wapinzani na serikali tatu, kuna nini?

Anayetaka serikali tatu ni mnafiki tu hana tofauti na anayetaka muungano uvunjike.
 
Wana Mafuta yao,Karafuu na Urojo,kwa hiyo watauza hivyo ili wapate hela ya kuchangia Serikali ya Muungano.
 
Anayetaka serikali tatu ni mnafiki tu hana tofauti na anayetaka muungano uvunjike.

kwahiyo ndugu unamaana wananchi ni wanafiki maana ndio waliotoa hayo maoni kwenye tume ya kuratibu mchakato wa katiba mpya!.au nawe ndio mmoja wa wale wanaofanya propaganda eti hayo ni mawazo ya warioba na wapinzani.ila fahamu watz wanafaham wanachohitaji
 
Back
Top Bottom