Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!

Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa supremacy politics kwa superiority complexity kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wanaonewa na kukosoa kila kinachofanywa na CCM hata kiwe kizuri vipi!. Huu ni ujinga na wengine ni stupidity!.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama na Watanzania katika uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani japo ni jukumu lake kukosoa, lakini sii kupinga kila kitu, linapokuja suala la national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu ni vichaa!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wajinga wengi na kuna vichaa wengi na ndani ya upinzani pia kuna wajinga wengi na vichaa wengi.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Paskali.
Paskali upinzani ulikufa na Dr. Slaa kwa sasa tumebaki na wajinga wanaofikiri wao ndio wenye hati miliki ya kuwa na hoja mbadala. Anachokifanya Lema ni 'uchoyo'roho yake ingefurahi kama hoja hiyo ingekuwa na hati miliki ya wanaChadema wenzie.
 
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.
Nimeipenda hii-Bashe kasema CDM wapigwe kwani CCM serikali, polisi na mahakama ni yao. Filikunjombe 2015 alilazimisha kuwa mgombea asiye na mpinzani Ludewa (karatasi za mgombea wa CDM "ziliyeyuka") lakini NEC ikabidi irekebishe baada ya kubanwa. What a spirit? Watu wanao geuka geuka ni wakuogopa (lazima uwachukulie kwa tahadhari sana) haijalishi kama wako CCM au CDM.
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa supremacy politics kwa superiority complexity kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wanaonewa na kukosoa kila kinachofanywa na CCM hata kiwe kizuri vipi!. Huu ni ujinga na wengine ni stupidity!.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama na Watanzania katika uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani japo ni jukumu lake kukosoa, lakini sii kupinga kila kitu, linapokuja suala la national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu ni vichaa!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wajinga wengi na kuna vichaa wengi na ndani ya upinzani pia kuna wajinga wengi na vichaa wengi.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Paskali.

IMG_2339.JPG

tutamwamini vipi kama yeye mwenyewe amewahi kutamka police ni yao mahakama ni yao kwa lugha nyingine bunge ni lao . hivyo wanachama wa ccm wawafanye chochote wapinzani maana hakitawapata chochote maana vyombo vya haki viko upande wao. leo anapeleka hoja bungeni je yeye atakua tayar kuadhibiwa kwa kauli yake ?? utamwamini vipi mtu kama huyu??
 
Pascally, upinzani haupingi hoja za Bashe, hoja ya Bashe imekuja kwa muda mwafaka kabisa.

Tatizo ni unafiki wake ule wa kuhubiri hayo yote ya kwenye hoja zake huku mfukoni ameficha mapanga na bunduki za kuharibu tena hayo anayoyapigania. Bashe anashangaza wapinzani kwani kwa maneno yake mwenyewe kule mbweni akiwataka wana ccm kuwapiga wafuasi wa upinzani, na kulipiza kisasi kwani hata kama wakikamatwa wataenda kuwatoa. Kwani police na serikali ni yao.

Kwahiyo Bashe inawezekana mchana anahubiri amani usiku anahamasisha uvunjifu wa amani. Mimi naona kuna agenda tunaisisubiri na hao wana ccm wenzake. Bashe ni mnafiki ndiyo maana haeleweki.
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa supremacy politics kwa superiority complexity kuwa wao ndio wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wanaonewa na kukosoa kila kinachofanywa na CCM hata kiwe kizuri vipi!. Huu ni ujinga na wengine ni stupidity!.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama na Watanzania katika uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani japo ni jukumu lake kukosoa, lakini sii kupinga kila kitu, linapokuja suala la national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu ni vichaa!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wajinga wengi na kuna vichaa wengi na ndani ya upinzani pia kuna wajinga wengi na vichaa wengi.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Paskali.
Hata mimi naona matatizo mengi ya kisiasa na hasa uminywaji wa haki za raia kwenye katiba yamechangiwa sana na vyama vya upinzani kupinga kila kitu.

Wakati wa katiba kama wangeruhusu mchakato kwenda mpaka mwisho naamini kuna machache yenye manufaa kwa Taifa yalikuwemo kwenye katiba na pengine hata hiki kibano wanachopata kwenye chaguzi na kunyimwa mikusanyiko katiba ile mpya ingekuwa imeyarekebisha na kuyawekea utaratibu mzuri.

Hili la Bashe walipokee tuu pengine litawapa ahueni kwenye changamoto za kisiasa wapinzani wanazopitia hivi sasa
 
Pascal Ndugu yangu,wapinzani wa Tanzania wanapinga kila kitu,mtu akiamua kumpinga hata mama yake mzazi kuwa sio mama yake atapinga tu.Kila kitu kwao ni kibaya kikitoka kwa mtu wa ccm,hivyo ndivyo walivyofundishwa katika braza lao la vijana.Nakuomba stop wasting your time on deaf/blind people.
 
Alale pema Filikunjombe upepo wake uliisha vizuri,lakini kwa mtu kama bashe ambae bade upepo unavuma tutaujua mwisho wake.Tukirudi kwenye upande mwingine wanasiasa takribani wengi kichwani wako njema sema huu ujinga na ukichaa wanajivikaga tu ili yao yaende,mfano mzuri tunao kwa Zitto tulivyokua tunamchukulia awali kabisa sivyo ilivyo sasa Bashe bado anasafari sana.
 
Pascal Mayalla Tatizo la CCM wanadhani wana Hati miliki ya Serikali kwa kujiita Chama Tawala a.k.a Chama Dola ''There is a Conflict of interest The Chairman of the Party Being a President'' Hili nadhani linaleta ukakasi ni Lazima tuwe na Katiba Nyumbulishi
 
Jadili au Jibu hoja yangu na siyo kumuita Pascal Mayalla na kuanza Kuinanga CCM kwani hata Mimi naweza vile vile ' Kuinanga ' CHADEMA yako na nadhani unanijua vyema tu kwamba GENTAMYCINE ni Jeshi la Mtu mmoja na nikianza ' Kuwachambeni ' wana CHADEMA mtakimbia sasa hivi humu kama ambavyo niliwahenyesheni wakati wa Kampeni za Urais mwaka 2015. Kazi Kwako!

Ati nini?
kumbe sisasa imekuw asawa na Mipasho?
hakika kazi ipo kama maisha yawatu imekuwa kama Simba na Yanga.
 
Tatizo watu wako kiitikadi zaidi na hii si salama kwa mustakabali wa Taifa.

Baada ya uchaguzi tu kuisha wote tunapaswa kuwa wamoja na kuisongesha nchi mbele lakini hapa ni kinyume alieshindwa anajenga chuki na uadui na kutaka kuonyesha alieshinda hafanyi kitu...Hii sio sahihi.
 
Jadili au Jibu hoja yangu na siyo kumuita Pascal Mayalla na kuanza Kuinanga CCM kwani hata Mimi naweza vile vile ' Kuinanga ' CHADEMA yako na nadhani unanijua vyema tu kwamba GENTAMYCINE ni Jeshi la Mtu mmoja na nikianza ' Kuwachambeni ' wana CHADEMA mtakimbia sasa hivi humu kama ambavyo niliwahenyesheni wakati wa Kampeni za Urais mwaka 2015. Kazi Kwako!
duuh cheichei
 
Huwezi kumuunga mtu kinyonga kama huyo. Kama yeye anawaambia wenzake wapigine serikali ni yao. Anatofauti gani na hao wasionekana.
 
Ukiamua kutumia kingereza tumia kingereza kama ni kiswahili andika kiswahili ueleweke. Ni upuuzi mtupu
 
Hicho ndio tunachosema kila siku. Hii pingapinga inafikia mahala unaona hoja hapa si nchi bali nani kaitoa! Huu ugonjwa wa kurithi kutoka CCM na sasa Chadema ndio wamekuwa kiboko kwenye pingapinga!
 
Back
Top Bottom