Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Wakati mwingine ni vigumu kujua Lema anataka nini haswa. He seems not yet matured politically.
Kwake yeye ni lawama tu, kejeli tu, kana kwamba yeye anawakilisha kundi fulani la watanzania halisi na wengine hawajui wanataka nini!!.
Bashe kaongea kiungwana kabisa, Lema kaenda mbali zaidi kiasi cha kumkejeli yeye na Dr Kigwa. Sio fair kabisa.