Wapinzani msione aibu kushirikiana na CCM kwenye hoja zenye maslahi ya Taifa! Bashe ni mzalendo, aungwe mkono na wote!

Nimenote change of trends kwa baadhi ya Wabunge wetu, kwenye hili sakata la CAG, Wabunge wetu wameonyesha wameanza kujitambua, hivyo ukiibuliwa hoja kuhusu udhaifu wa mtu fulani unaopelekea Bunge letu kuonekana linaudhaifu fulani katika maeneo fulani, I hope they'll stand as one and do the right thing.
P.
 
Mkutano wa SADC ni jambo muhimu kwa maslahi kwa taifa hivyo natoa wito kwa Wapinzani kuungana na serikali ya CCM kuwa kitu kimoja kuufanikisha Mkutano huu.
All the best kwa Mkutano wa SADC.
P
 
Watanzani tupo million 55, ccm wapo million 7 na upuuzi, wapinzani wapo wastani Wa idadi hiyo ya ccm. 55-14 utapata wastari ya wapiga kura wasio na vyama ambao pia ni watanzania yenye haki vile vile ya kutoa maoni. Lakini cha ajabu hawa watanzania wasio na chama wakitoa maoni yao wanashambuliwa hawa wanaojiita makada na makamanda. Sisi tusio na vyama kazi yetu ni kuunga mkono mazuri yoyote yanayofanywa iwe serikali au upinzani, pasipo kufungwa na mitazamo ya makada wala makamanda. Tukiona wewe unapinga kila kitu tunakuwa na wasiwasi na wewe labda utanzania wako ni wakaratasi tens yenye ukomo.
 
Sijaona wabunge wa CCM wakiisimamia serikali na kuishauri. Niwaona kama taasisi ya kuisifu serikali na CCM. Wapinzani wamefanya visuri mno katika kuisimamia, na kuishauri bahati mbaya waandishi kama Mayalla wanaipotosha jamii kweli kweli. Sintasahau mwandishi moja humu aliandika makala ndefu akidai uchaguzi ujao ni bora Mbunge wa Temeke awe Diamond. Hata kabla wino haujakauka waitara akanunuliwa na ccm na kupewa uwaziri. Hii inaonesha wabunge kutoka CHADEMA uwezo wao ni mkubwa ukilingsnisha na wale wa CCM.
Nimenote change of trends kwa baadhi ya Wabunge wetu, kwenye hili sakata la CAG, Wabunge wetu wameonyesha wameanza kujitambua, hivyo ukiibuliwa hoja kuhusu udhaifu wa mtu fulani unaopelekea Bunge letu kuonekana linaudhaifu fulani katika maeneo fulani, I hope they'll stand as one and do the right thing.
P.
 
Hata kwenye uchaguzi Mkuu huu, wewe ukiwa mpinzani lakini ukaiona kazi nzuri inayofanywa na JPM, ukaamua unataka maendeleo ya kweli na sio blah blah za kisiasa, then unapaswa to do the right thing kwa kufanya an informed decision, natoa wito kwa Watanzania wenzangu wote wa vyama vyote, waliojiandikisha kupiga kura, siku ya tarehe 28 October, tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura na kutumia haki yetu ya kidemokrasia kuchagua viongozi tunaowataka, ila tusifanye makosa, tuchague viongozi wa ukweli kutoka vyama vya ukweli, watakao weza kutuletea maendeleo ya kweli.

Sentensi ya kwanza "kazi nzuri iliyofanywa na JPM" imeonyesha ngozi yako.

Hiyo phrase ungeiacha wakulungwa wangekuelewa zaidi, ila asante, waliovunjiwa Kimara wana jambo lao.
Watu wa bukoba nao wana lao.
Wafanya biashara wakubwa na watumishi walioajiriwa nao , wana jamno lao.
Mo na wafanyakazi wake, Manji na wafanyi kazi wake, na wengineo
 
Tatizo liko awamu ya tano. Awamu zilizopita tuliona wapinzani wanaitwa ikulu kwa majadiliano. Awamu hii maelekezo toka juu ni FUTA UPINZANI. Lawana zianzie hapo.
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa politics of supremacy na politics of superiority complex kuwa wao ndio chama tawala, hivyo ndio pekee wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wapinzani wanaonewa hivyo kukosoa kila kitu kinachofanywa na serikali ya CCM hata kiwe ni kizuri vipi!. Huku CCM wakipinga kila hoja za upinzani, na kwa kuzingatia Spika wa Bunge na Naibu wake wote ni kutoka CCM, sometimes huu ni ujinga na kwa kiasi fulani, this is stupidity!. Ili tuwe na Bunge la haki bin haki, nashauri Spika wa Bunge asitokane na chama cha siasa, awe ni mtu neutral kama majaji, msajili wa vyama au wateule ambao sio makada ili aweze kuliongoza Bunge bila ukada wa chama chake.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama ya kuitawala Tanzania na Watanzania kupitia uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani nao japo ni jukumu lake kupinga na kukosoa, lakini sio kupinga tuu kila kitu, linapokuja suala la maslahi kwa taifa lenye national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokutana na hoja za upinzani zenye maslahi kwa taifa mfano inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu bali ni vichaa ila hawajaanza kuokota makopo!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wenye akili wengi, wajinga wengi na kuna vichaa wachache na ndani ya upinzani pia kuna wenye akili, wajinga wengi na vichaa pia, na kubwa kuliko ni kwetu sisi Watanzania hali halisi ni hii Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, huyu alikuwa ni mbunge wa CCM lakini alitanguliza mbele maslahi ya taifa, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe
This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Kiukweli kabisa ni wabunge wachache wa CCM wanaotanguliza mbele maslahi ya taifa. Wengi wa wabunge wetu wa CCM na Upinzani alike, hawajui wako mule bungeni kufanya nini wala hawajui kazi za Bunge na wajibu wao mle Bungeni!.

Wabunge wa CCM wao wanachojua ni maadamu wamechaguliwa kupitia CCM, kwao CCM ndio kila kitu, wako pale kwa ajili ya CCM, hivyo hoja yoyote itakayoletwa na serikali kazi ni kuunga tuu mkono na kusema "ndio" kwa hoja zozote za wabunge wa CCM na kupinga hoja yoyote itakayotolewa na upinzani, hata iwe hoja nzuri vipi, wao wataipinga. Huku wapinzani Bungeni kazi yao ni kupinga tuu hoja zote za serikali au hoja za wabunge wa CCM. CCM inautumia vibaya wingi wake bungeni wakati wapinzani wakiutumia vibaya upinzani wao kwa kupinga kila kitu.

Zitto Kabwe alipotoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, miingoni mwa wabunge watatu wa CCM waliomuunga mkono ni Deo Filikunjombe, Nimrod Mkono na Ester Bulaya hadi mimi kumpongeza Ester Bulaya, Mbunge wa CCM, Mhe. Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Sasa Bashe ametoa hoja muhimu sana kwa maslahi ya Taifa, amejivua u CCM wake na kuvaa utaifa kulitumia Bunge kuisimamia serikali, hata kama serikali yenyewe ni serikali ya chama chake CCM, pale inaposhindwa kutimiza wajibu wake na majujumu yake ni taasisi mbili tuu zenye mamlaka na uwezo wa kuisimamia na kuiadabisha serikali. Taasisi hizi ni Bunge na Mahakama.

Inapotokea serikali ya CCM kukosolewa na mbunge wa CCM kwenye hoja zenye maslahi kwa taifa, WanaCCM majinga na vichaa, watamuona Bashe kama sio mwenzao, na wapinzani majinga na vichaa, watambeza Bashe badala ya kumuunga mkono!. Huu ni ujinga!.

Natoa wito sio kwa tuu Bashe aungwe mkono na wazalendo wote wenye kulitakia mema taifa hili bali zinapotokea hoja zozote kwa maslahi bila kujali zimetolewa na nani, hoja hizo ziungwe mkono na wazalendo wote wenye Makenzie mema na taifa hili.

Kuhusu hoja ya Bunge kuisimamia serikaliserikali, mimi kwa upande wangu niliishatoa angalizo hili siku nyingi nyuma

Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
Kumbe miongoni mwa wabunge wa CCM, pia bado tunawazalendo wachache!, wazalendo hawa waungwe mkono kwa dhati na Watanzania wazalendo wote wenye kulitakia mema taifa letu.

Naomba pia kutoa angalizo kuhusu wabunge vocal na wazalendo kama hawa kwa siku za nyuma.
Siku zote wabunge vocal huwa wananyamazishwa kwa kutupiwa pande, ndicho kilichofanyika kwa Mwakyembe, Mwigulu Nchemba, Kangi Lugora, Dr. Kigwangala etc, hivyo this Bashe, is a man to watch, hachelewi kutupiwa pande la mnofu, halafu mumsikilize kama mtamsikia tena!.

Siku Njema
Paskali.
CCM isione aibu kushirikiana na wapinzani, wabunge wengi CCM ni lasaba failure, chukueni wapinzani walioko smart.
 
Hata hili la Chanjo ya Corona, pia lina maslahi kwa taifa, Wapinzani, CCM, tuungane kwenye hili, tuwe kitu kimoja.
P
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa politics of supremacy na politics of superiority complex kuwa wao ndio chama tawala, hivyo ndio pekee wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wapinzani wanaonewa hivyo kukosoa kila kitu kinachofanywa na serikali ya CCM hata kiwe ni kizuri vipi!. Huku CCM wakipinga kila hoja za upinzani, na kwa kuzingatia Spika wa Bunge na Naibu wake wote ni kutoka CCM, sometimes huu ni ujinga na kwa kiasi fulani, this is stupidity!. Ili tuwe na Bunge la haki bin haki, nashauri Spika wa Bunge asitokane na chama cha siasa, awe ni mtu neutral kama majaji, msajili wa vyama au wateule ambao sio makada ili aweze kuliongoza Bunge bila ukada wa chama chake.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama ya kuitawala Tanzania na Watanzania kupitia uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani nao japo ni jukumu lake kupinga na kukosoa, lakini sio kupinga tuu kila kitu, linapokuja suala la maslahi kwa taifa lenye national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokutana na hoja za upinzani zenye maslahi kwa taifa mfano inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu bali ni vichaa ila hawajaanza kuokota makopo!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wenye akili wengi, wajinga wengi na kuna vichaa wachache na ndani ya upinzani pia kuna wenye akili, wajinga wengi na vichaa pia, na kubwa kuliko ni kwetu sisi Watanzania hali halisi ni hii Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, huyu alikuwa ni mbunge wa CCM lakini alitanguliza mbele maslahi ya taifa, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe

This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Kiukweli kabisa ni wabunge wachache wa CCM wanaotanguliza mbele maslahi ya taifa. Wengi wa wabunge wetu wa CCM na Upinzani alike, hawajui wako mule bungeni kufanya nini wala hawajui kazi za Bunge na wajibu wao mle Bungeni!.

Wabunge wa CCM wao wanachojua ni maadamu wamechaguliwa kupitia CCM, kwao CCM ndio kila kitu, wako pale kwa ajili ya CCM, hivyo hoja yoyote itakayoletwa na serikali kazi ni kuunga tuu mkono na kusema "ndio" kwa hoja zozote za wabunge wa CCM na kupinga hoja yoyote itakayotolewa na upinzani, hata iwe hoja nzuri vipi, wao wataipinga. Huku wapinzani Bungeni kazi yao ni kupinga tuu hoja zote za serikali au hoja za wabunge wa CCM. CCM inautumia vibaya wingi wake bungeni wakati wapinzani wakiutumia vibaya upinzani wao kwa kupinga kila kitu.

Zitto Kabwe alipotoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, miingoni mwa wabunge watatu wa CCM waliomuunga mkono ni Deo Filikunjombe, Nimrod Mkono na Ester Bulaya hadi mimi kumpongeza Ester Bulaya, Mbunge wa CCM, Mhe. Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Sasa Bashe ametoa hoja muhimu sana kwa maslahi ya Taifa, amejivua u CCM wake na kuvaa utaifa kulitumia Bunge kuisimamia serikali, hata kama serikali yenyewe ni serikali ya chama chake CCM, pale inaposhindwa kutimiza wajibu wake na majujumu yake ni taasisi mbili tuu zenye mamlaka na uwezo wa kuisimamia na kuiadabisha serikali. Taasisi hizi ni Bunge na Mahakama.

Inapotokea serikali ya CCM kukosolewa na mbunge wa CCM kwenye hoja zenye maslahi kwa taifa, WanaCCM majinga na vichaa, watamuona Bashe kama sio mwenzao, na wapinzani majinga na vichaa, watambeza Bashe badala ya kumuunga mkono!. Huu ni ujinga!.

Natoa wito sio kwa tuu Bashe aungwe mkono na wazalendo wote wenye kulitakia mema taifa hili bali zinapotokea hoja zozote kwa maslahi bila kujali zimetolewa na nani, hoja hizo ziungwe mkono na wazalendo wote wenye mapenzi mema na taifa hili.

Kuhusu hoja ya Bunge kuisimamia serikali, mimi kwa upande wangu niliishatoa angalizo hili siku nyingi nyuma

Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
Kumbe miongoni mwa wabunge wa CCM, pia bado tunawazalendo wachache!, wazalendo hawa waungwe mkono kwa dhati na Watanzania wazalendo wote wenye kulitakia mema taifa letu.

Naomba pia kutoa angalizo kuhusu wabunge vocal na wazalendo kama hawa kwa siku za nyuma.
Siku zote wabunge vocal huwa wananyamazishwa kwa kutupiwa pande, ndicho kilichofanyika kwa Mwakyembe, Mwigulu Nchemba, Kangi Lugora, Dr. Kigwangala etc, hivyo this Bashe, is a man to watch, hachelewi kutupiwa pande la mnofu, halafu mumsikilize kama mtamsikia tena!.

Siku Njema
Paskali.
Bashe ni jembe sana. Tuachane na usomi wake na exposure yake kubwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania.

Kwanza alianza kwa kusurvey maeneo yote ya Wizara yake nchi nzima akiwa Naibu Waziri. Ameizunguka nchi nzima.

Ametembelea taasisi zake zote na maeneo ya miradi yake nchi nzima.

Bashe ni mtu wa Umwagiliaji. Bashe anajua dhana ya uzalishaji.

Wabunge wanamkubali sana. He is very logical Minister. He knows what he is doing.

Bashe ni mashine ya hii nchi.
Naunga mkono hoja, tena alianza kuonyesha ni jembe kabla hata hajawa Naibu Waziri
P
 
Bashe ni nani? Kuna timu ilikuja ikacheza na Taifa Stars toka Somalia niliona anafanana nao! Hata kocha wa Azam sio ndugu yake kweli?

Anyway utani kidogo tu but for me simuoni tena Bashe yule wa kabla ya kuwa Waziri, kama ni mchezaji basi ameshuka kiwango! Kipindi kile Bashe alikuwa na nondo mno bungeni za kujenga nchi akipambana vikali na yule mkongoman Zana za Kilimo (ZZK).
Bashe ni Genius sana huwa namkubali sana naomba amsaidie Bimkubwa kumaliza haraka kujenga Reli SGR na Nyerere Dam.
 
Wanabodi,
Sii mara moja wala mbili nimewahi kusema tatizo kubwa la siasa za Tanzania ni ignorance and to some extent stupidity!. CCM na wana CCM wanaongoza kwa politics of supremacy na politics of superiority complex kuwa wao ndio chama tawala, hivyo ndio pekee wenye haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, na wapinzani wakifanya offensive politics with inferiority complex kuwa wapinzani wanaonewa hivyo kukosoa kila kitu kinachofanywa na serikali ya CCM hata kiwe ni kizuri vipi!. Huku CCM wakipinga kila hoja za upinzani, na kwa kuzingatia Spika wa Bunge na Naibu wake wote ni kutoka CCM, sometimes huu ni ujinga na kwa kiasi fulani, this is stupidity!. Ili tuwe na Bunge la haki bin haki, nashauri Spika wa Bunge asitokane na chama cha siasa, awe ni mtu neutral kama majaji, msajili wa vyama au wateule ambao sio makada ili aweze kuliongoza Bunge bila ukada wa chama chake.

CCM haina haki miliki ya kuitawala Tanzania milele, bali imepewa tuu dhamama ya kuitawala Tanzania na Watanzania kupitia uchaguzi 'huru na wa haki', lakini CCM sio malaika, kuna mazuri mengi imefanya, yanapaswa kuungwa mkono, lakini pia kuna mabaya imefanya inapaswa kulaumiwa, kuonywa au kuadhibiwa.

Upinzani nao japo ni jukumu lake kupinga na kukosoa, lakini sio kupinga tuu kila kitu, linapokuja suala la maslahi kwa taifa lenye national interests, CCM na Wapinzani wanapaswa kuweka tofauti zao pembeni na kuwa kitu kimoja, hivyo kwenye mazuri ya CCM kwa maslahi ya taifa, Wapinzani msione aibu kuiunga mkono CCM na kuipongeza, na CCM nayo pia inapokutana na hoja za upinzani zenye maslahi kwa taifa mfano inapokopy hoja nzuri au sera mzuri za wapinzani na kuzitekeleza, isione aibu kuwapongeza wapinzani kama hoja ya katiba mpya, elimu bure etc.

Kama nilivyosema tatizo kubwa la siasa zetu ni ujinga, ignorance, nikimaanisha Tanzania tuna wajinga wengi tena wengine sio wajinga tuu bali ni vichaa ila hawajaanza kuokota makopo!. Hivyo ndani ya CCM, kuna wenye akili wengi, wajinga wengi na kuna vichaa wachache na ndani ya upinzani pia kuna wenye akili, wajinga wengi na vichaa pia, na kubwa kuliko ni kwetu sisi Watanzania hali halisi ni hii Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo!. Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?!.

Lakini pamoja na wajinga hawa na vichaa hawa, miongoni mwao, tuna watu wazuri, wazalendo wa kweli wa taifa hili ambao kwao ni Tanzania kwanza, vyama baadae. Wazalendo wa aina hii wapo CCM, pia wapo upinzani. Miongoni mwa wazalendo hawa ni Marehemu Deo Filikunjombe, huyu alikuwa ni mbunge wa CCM lakini alitanguliza mbele maslahi ya taifa, hivyo sasa kupitia Hussein Bashe, naona kama the spirit of Deo Filikunjombe still lives on.

Nimeguswa kupandisha uzi huu baada ya kuguswa na maneno haya ya Hussein Bashe

This is the bottom line!.
Mimi nimemuelewa Bashe!. Wapinzani igeni mazuri ya wanaCCM wazuri wakiwemo wabunge wa CCM!, and Bashe is one of them!. I can see the spirit of Deo Filikunjombe born again through Bashe!.

Kiukweli kabisa ni wabunge wachache wa CCM wanaotanguliza mbele maslahi ya taifa. Wengi wa wabunge wetu wa CCM na Upinzani alike, hawajui wako mule bungeni kufanya nini wala hawajui kazi za Bunge na wajibu wao mle Bungeni!.

Wabunge wa CCM wao wanachojua ni maadamu wamechaguliwa kupitia CCM, kwao CCM ndio kila kitu, wako pale kwa ajili ya CCM, hivyo hoja yoyote itakayoletwa na serikali kazi ni kuunga tuu mkono na kusema "ndio" kwa hoja zozote za wabunge wa CCM na kupinga hoja yoyote itakayotolewa na upinzani, hata iwe hoja nzuri vipi, wao wataipinga. Huku wapinzani Bungeni kazi yao ni kupinga tuu hoja zote za serikali au hoja za wabunge wa CCM. CCM inautumia vibaya wingi wake bungeni wakati wapinzani wakiutumia vibaya upinzani wao kwa kupinga kila kitu.

Zitto Kabwe alipotoa hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, miingoni mwa wabunge watatu wa CCM waliomuunga mkono ni Deo Filikunjombe, Nimrod Mkono na Ester Bulaya hadi mimi kumpongeza Ester Bulaya, Mbunge wa CCM, Mhe. Esta Bulaya, Afanya Tukio la Kishujaa Mjini Dodoma!

Sasa Bashe ametoa hoja muhimu sana kwa maslahi ya Taifa, amejivua u CCM wake na kuvaa utaifa kulitumia Bunge kuisimamia serikali, hata kama serikali yenyewe ni serikali ya chama chake CCM, pale inaposhindwa kutimiza wajibu wake na majujumu yake ni taasisi mbili tuu zenye mamlaka na uwezo wa kuisimamia na kuiadabisha serikali. Taasisi hizi ni Bunge na Mahakama.

Inapotokea serikali ya CCM kukosolewa na mbunge wa CCM kwenye hoja zenye maslahi kwa taifa, WanaCCM majinga na vichaa, watamuona Bashe kama sio mwenzao, na wapinzani majinga na vichaa, watambeza Bashe badala ya kumuunga mkono!. Huu ni ujinga!.

Natoa wito sio kwa tuu Bashe aungwe mkono na wazalendo wote wenye kulitakia mema taifa hili bali zinapotokea hoja zozote kwa maslahi bila kujali zimetolewa na nani, hoja hizo ziungwe mkono na wazalendo wote wenye mapenzi mema na taifa hili.

Kuhusu hoja ya Bunge kuisimamia serikali, mimi kwa upande wangu niliishatoa angalizo hili siku nyingi nyuma

Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi?
Kumbe miongoni mwa wabunge wa CCM, pia bado tunawazalendo wachache!, wazalendo hawa waungwe mkono kwa dhati na Watanzania wazalendo wote wenye kulitakia mema taifa letu.

Naomba pia kutoa angalizo kuhusu wabunge vocal na wazalendo kama hawa kwa siku za nyuma.
Siku zote wabunge vocal huwa wananyamazishwa kwa kutupiwa pande, ndicho kilichofanyika kwa Mwakyembe, Mwigulu Nchemba, Kangi Lugora, Dr. Kigwangala etc, hivyo this Bashe, is a man to watch, hachelewi kutupiwa pande la mnofu, halafu mumsikilize kama mtamsikia tena!.

Siku Njema
Paskali.
Siku zote walikuwa wanashirikiana vizuri tu na aliyeua huo ushirikiano ni Magufuli. Kashfa nyingi ndani ya bunge zilishirikisha wote bila kujali kuna upinzani. Nafikiri hata ukaribu wa Zito Kabwe na Deo Filikunjombe ni kupitia escrow scandal. Ninaamini upinzani hauna tatizo kwenye kuunga mkono mambo ya msingi. Shida iko upande ulee kutegemea na nani amekamata usukani.
 
Back
Top Bottom