Wapinzani kuchukua nchi mwaka 2015

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kama UKAWA,wataendelea na ushirikiano walio anzisha hadi ktk uchaguzi ujao 2015,Nina uhakika CCM huo ndio utakuwa mwisho wao.Na hili jambo lina wanyima usingizi CCM kwani wanalijua kabisa kuwa safari Yao ya kufunga virago kutoka magogoni imetimia.
 
...kila chaguzi zinapofanyika nimezoea kusikaia kauli za "ushindi huu wa kishindo ni salam tosha kwa wapinzani" toka kwa Nape Nnauye . Chakushangaza india wamemaliza uchaguzi amekaa kimya pasi kusema lolote. Nami namkumbusha kuwa hizi ni salam tosha kwa nape,ccm na serikali yake...
 
Last edited by a moderator:

Ukijumlisha matokeo ya kura walizopata wapinzani wote zinazidi za ccm,na Hilo ndio mwiba hasa kwa watawala.wote wameshikwa na ububu juu ya uchaguzi WA India.
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye LOWASSA amepewa fadhila ya umakamu wa rais na Jaji AUGUSTINO kuipeperusha bendera ya CCM.Kwa upande wangu ccm hata wakimsimamisha nani Kura yangu na familia yangu iko kwa UKAWA .viva UKAWA.nimewachoka MA CCM.
 
Back
Top Bottom