Wapiga Vichwa wakali kuwahi kutokea katika soka

List yangu ni kama ifuatavyo;

1. Patrick Kluivert
2. Steve Bruce
3. Sergio Ramos
4. Cristiano Ronaldo
5. Nemanja Vidic
6. Pippo Inzaghi

Sijapanga kwa namba. Ila mimi mara nyingi huwa nawapa credit sana mabeki hasa wa kati pindi wanapoenda kupiga vichwa kutokana na mipira ya kona au adhabu ndogo.

Ila kwa washambuliaji huyi Kluivert hana mfano wake.
Mbon mnamsahau drogba
 
2006 worldcup game na Argentina walipigiana pasi za vichwa. Ogopa sana huyu jamaa.
Assist ya kichwa goli la kichwa wat a move that was. Sikumbuki vizuri aliyempa pasi ile lakini?? Podolski au Muller?

Sasa kuna mtu alikuwa anaitwa Carsten Junker ! W.cup 2002 alikuwa anasaidiana na marco bode, klose pale mbele . Jamaa hatari sana kwa vichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom