Wapiga Vichwa wakali kuwahi kutokea katika soka

Kwa wachezaji wa karibuni niliowaona oliver bierhoff ndio namba moja kwa vichwa. Na statistics nyingi zinaegemea upande wake.
Yeah huyu alikua hbr nyingne, bila kumsahau patric kluivet na mecelo salas ambae world cup 1998 alikua na goli nne zote za vichwa.
 
List yangu ni kama ifuatavyo;

1. Patrick Kluivert
2. Steve Bruce
3. Sergio Ramos
4. Cristiano Ronaldo
5. Nemanja Vidic
6. Pippo Inzaghi

Sijapanga kwa namba. Ila mimi mara nyingi huwa nawapa credit sana mabeki hasa wa kati pindi wanapoenda kupiga vichwa kutokana na mipira ya kona au adhabu ndogo.

Ila kwa washambuliaji huyi Kluivert hana mfano wake.

Crespo
Van persie
Pique
 
Gabriel Batistuta, kama uliwahi kumuona huyu jamaa akicheza utakubaliana na mimi kuwa kichwa chake kilikuwa moto.

Hernan Crespo, huyu nae alikuwa moto wa kuotea mbali.

Patrick Kluivert, huyu jamaa alikuwa balaa kwenye mipira ya juu

Cristiano Ronaldo, naye hatuwezi kumuacha katika list ya wapiga vichwa na kufunga magoli magumu ya vichwa.

Sergio Ramos, ni beki mwenye uwezo mkubwa wa kufunga kwa vichwa.
 
Kwenye soka kumekua na wachezaji wenye vipaji vya kila aina ila kwenye suala la kufunga kwa kupiga vichwa ni wachache sana wapo.
Je unaweza kutupa list yako ya wachezaji watatu bora katika upigaji vichwa uliyowahi kuwashuhudia toka uanza kutazama soka.

Yangu mimi ni hii

1. Cristiano Ronaldo (ulimwengu unajua 🐐🐐Anaruka juu kama bombadier ya magufuli. Kichwa bora zaidi ni kile alichowapiga Mantud kwenye uefa champions league Evra alibaki haelewi afanye nn)
2. Edin Dzeko ( statistics says it all huyu jamaa kipindi akiwa wolfsburg aliweza kufunga goli zaidi ya kumi kwa msimu mmoja kwa kutumia kichwa tu still hadi leo ukizubaa kwenye boksi mipira ya juu lazma akutie adabu)
3. Fernando Morientes ( mtaalam wa diving header huyu. Wataalamu wanasema alikua anaweza ku curve na kuchop kwa kichwa 🤣🤣)

Je tatu bora yako ni ipi kwa wapiga vichwa??
Abeid Mziba
 
List yangu ni kama ifuatavyo;

1. Patrick Kluivert
2. Steve Bruce
3. Sergio Ramos
4. Cristiano Ronaldo
5. Nemanja Vidic
6. Pippo Inzaghi

Sijapanga kwa namba. Ila mimi mara nyingi huwa nawapa credit sana mabeki hasa wa kati pindi wanapoenda kupiga vichwa kutokana na mipira ya kona au adhabu ndogo.

Ila kwa washambuliaji huyi Kluivert hana mfano wake.
Number 1 nakubali hawa wengine sijui
 
Hapa Mbona hamumsemi Dwarf jamani..?? Ila ronaldo ni Best aiseee...nenda uendakool...


CR7 atabaki kuwa juu milele yote...dwarf akasome tuu
 
1112407

Nawachangamsha tu...hii kitu siji kuisahau kabisa na ilivyokuwa naipenda Manu ya Ronaldo kipindi hiyo nilimuona huyu bwana ana roho mbaya saana.
Ila katika yote Patrick Kluivert kipindi kile hahahaha bichwa bichwa kweli...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom