Wapiga Vichwa wakali kuwahi kutokea katika soka

mk
Kwenye soka kumekua na wachezaji wenye vipaji vya kila aina ila kwenye suala la kufunga kwa kupiga vichwa ni wachache sana wapo.
Je unaweza kutupa list yako ya wachezaji watatu bora katika upigaji vichwa uliyowahi kuwashuhudia toka uanza kutazama soka.

Yangu mimi ni hii

1. Cristiano Ronaldo (ulimwengu unajua 🐐🐐Anaruka juu kama bombadier ya magufuli. Kichwa bora zaidi ni kile alichowapiga Mantud kwenye uefa champions league Evra alibaki haelewi afanye nn)
2. Edin Dzeko ( statistics says it all huyu jamaa kipindi akiwa wolfsburg aliweza kufunga goli zaidi ya kumi kwa msimu mmoja kwa kutumia kichwa tu still hadi leo ukizubaa kwenye boksi mipira ya juu lazma akutie adabu)
3. Fernando Morientes ( mtaalam wa diving header huyu. Wataalamu wanasema alikua anaweza ku curve na kuchop kwa kichwa 🤣🤣)

Je tatu bora yako ni ipi kwa wapiga vichwa??
mkuu nimeipenda sana hii. evra hakumpiga kibao kweli??
 
Ingawa Abeid Mziba alikua kwenye dunia nyingine zaidi kwa vichwa kibongobongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom