Eti jamani kati ya wanaume na wanawake wapi wanazingua kwenye suala zima la kutaka kuoana maana nimeongea na vijana wengi wa kiume wanadai wanawake wengi hasa wenye ajira hawataki kuolewa na wanawake wanasema wanaume wengi hawataki ndoa wanataka kutumia tu bila ndoa na tena wamewapa jina eti wanaume wa siku hizi ni miduara je, ni jinsia gani ambayo haitaki ndoa kati ya ke na me na kwanini.