P Peter Issack New Member Sep 6, 2015 1 1 Jan 9, 2017 #1 Jamani hebu nisaidieni kufahamu bank inayotoa mikopo kwa masharti nafuu hasa kwa sisi wanafunzi tuliomaliza chuo tunaotaka kujiajiri.
Jamani hebu nisaidieni kufahamu bank inayotoa mikopo kwa masharti nafuu hasa kwa sisi wanafunzi tuliomaliza chuo tunaotaka kujiajiri.
BABA TUPAC JF-Expert Member Sep 30, 2015 1,526 3,802 Jan 9, 2017 #6 Lizaboni said: Ana dhamana ya mke Click to expand... Mkuu, hayo mambo yako unaonaje ukiwa unaandika jukwaa la siasa tu?
Lizaboni said: Ana dhamana ya mke Click to expand... Mkuu, hayo mambo yako unaonaje ukiwa unaandika jukwaa la siasa tu?
Officer2009 JF-Expert Member Dec 20, 2010 560 110 Feb 26, 2017 #7 kuuuu said: Ipo ila mpaka uwe mtumishi Click to expand... Mi ni mtumishi mkuu, naomba unipe maelekezo
kuuuu said: Ipo ila mpaka uwe mtumishi Click to expand... Mi ni mtumishi mkuu, naomba unipe maelekezo
Shark JF-Expert Member Jan 25, 2010 29,462 29,163 Feb 26, 2017 #8 Officer2009 said: Mi ni mtumishi mkuu, naomba unipe maelekezo Click to expand... Jaribu kuwatafuta watu wanaitwa BAYPORT
Officer2009 said: Mi ni mtumishi mkuu, naomba unipe maelekezo Click to expand... Jaribu kuwatafuta watu wanaitwa BAYPORT
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Mar 25, 2014 9,682 12,257 Feb 26, 2017 #9 Mibas said: Una dhamana gani? Click to expand... nina dhamana ya kiwanjwa karibia nusu heka....nahitaji zaidi ya 20m....nitapata?
Mibas said: Una dhamana gani? Click to expand... nina dhamana ya kiwanjwa karibia nusu heka....nahitaji zaidi ya 20m....nitapata?