Tanzania commercial Bank Arusha mnausumbufu katika kuwa vijana mikopo wa biashara

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!

Katika pita pita zangu leo, kama kawaida nilikuwa napata chakula cha mchana somewhere,naangalia kule namuona jamaa yangu tuliomaliza naye chuo kitambo wakiwa wawili.

Baada ya salama ya hapa na pale akanishirikisha jambo moja ambalo binafsi limenigusa sana,nikasema asilani lazima nilete kwa wadau.

Amenieleza yakwamba yeye ni mfanyabishara na aliomba mkopo katika bank tajwa hapo juu tawi la meru posta Arusha..

Na vigezo alikamilisha muda kama leseni,tin,tax clearance,mogeji au asseti yenye hati miliki n.k ila yule sijui ndio manager au afisa pale amekuwa akimuahidi wiki ijayo wiki ijayo mpaka imefika mienzi minne.

Yule jamaa alichokifanya alienda kuchukua domuments zake zote akaachana na huo mpango

Ila ajiuliza kama walikuwa hawana nia ya kumpatia mkopo kwanini amempotezea muda kijana wa watu?

Just image kama vijana walioamua kujiajiri na kufungua miradi yao ili kuepukana na hili jinamizi la ukosefu wa ajira wanafanyiwa hivi na Taasisi za kifedha,ni vijana wangapa watakatishwa tamaa na changamoto kama hizi?
Infact nimemshuri jamaa aende taasisi nyingine kwasababu anavigezo vyote vya kupata mikopo.

Kumbe vijana hata wakiamua kujiajiri na wakawa na vigezo vya kupata mkopo bado usumbufu upo.

Ulaya taasisi za kifedha zinafuata vijana wenye biashara na wanaomba wawakopeshe tena kwa riba nafuu na mikopo,inaweza kutolewa ndani ya masaa 24..wale watu wapo fasta kwenye kila kitu.
 
Back
Top Bottom