Hongera sana rafiki......
ngoja watakuja wataalamu hapa utapata majibu....
JF ni mambo yote
Its a very good idea/innovation. Badala ya kuwa na mlango wa mbao halafu unahangaika kuweka grill tena! Cha muhimu ni kupata fundi mwenye workmanship nzuri tu na aliye tayari kufikiri/kujaribu zaidi.
ni kweli....I hope so, ila nafikiri mafundi wa grill wowote ukimpelekea picha na maelekezo anaweza itengeneza. otherwise naweza kusafirisha tu; maana bei za mafundi huku ni much cheaper than Dar.
msinitenge kwenye hili wapendwa but mm nimewaza hivi kwani Kaunga huwez kuipiga picha na ndani kisha tukaipeleka kwa fundi wazuri wa grill??ni kweli....
ukipata na mimi niambie rafiki.
Au kama hutapata Dar tunaweza tengenezea huko then tukasafirisha kwa pamoja.
Tutajadili kiundani zaidi PM
ni kweli....
ukipata na mimi niambie rafiki.
Au kama hutapata Dar tunaweza tengenezea huko then tukasafirisha kwa pamoja.
Tutajadili kiundani zaidi PM
poa, ngoja tusubirie wataalamuNitafanya rafiki, ngoja tusubirie halafu nitacompare bei na kufanya maamuzi. Ila kwa mlango huo huku ni sh 250,000/= so bila kioo nafikiri itakuwa 200,000 pekee usafiri sijajua so tutawasiliana tu rafiki.
Nitafanya rafiki, ngoja tusubirie halafu nitacompare bei na kufanya maamuzi. Ila kwa mlango huo huku ni sh 250,000/= so bila kioo nafikiri itakuwa 200,000 pekee usafiri sijajua so tutawasiliana tu rafiki.
nafikiri pale kwa Komba Mbezi beach karibu na Oilcom kuna mafundi wanajiita wa Kigoma wanaweza itengeneza hiyo milango kwani wanatengeneza milango ya mbao yenye nakshi ya vioo kwa umahiri mkubwa,naamini ukiwapelekea hao wataweza ila bei mmmmNitafanya rafiki, ngoja tusubirie halafu nitacompare bei na kufanya maamuzi. Ila kwa mlango huo huku ni sh 250,000/= so bila kioo nafikiri itakuwa 200,000 pekee usafiri sijajua so tutawasiliana tu rafiki.