Gilbert Clavery
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 438
- 360
Saga mkaa then sukutua alafu utanipa mlejeshonaomba msaada meno yangu hata nisugue vipi hayatakati yanakuwa ya njano njano nimetumia kila njia imeshindikana kwa anayejua dawa ya kuyafanya kung'aa anisaidie nitumie dawa gani