Wapi wanafundisha ccna(cisco)?

Wapi wanafundisha ccna(cisco)?

CHINGUMBE

Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
70
Reaction score
26
jamani naomba nisaidieni ni wapi ntasoma CCNA(CISCO) kwa hapa dar na ni bei gan kwa kipindi cha muda gani,ilaa kwenye upande wa muda kufundishwa ningependa uwe mchana.
 
Imit ipo life house building near to sukari house training $ 600 miezi 3 paper $350 tatizo muda ni jion saa kumi na moja
 
Poa mkubwa ntafuatilia vp kuhusu language programming ya C+ nnaweza kupa sehemu wanayofundisha.
 
Ucc udsm kipo posta na mlimani hata cheti chake kina nguvu na wana vifaa vya kutosha....ingawa vya mtaani vingi vina juhudi pia ya kufundisha
 
Back
Top Bottom