Elfu 20?????Mwaka 2022! Nilisafiri kwenda lindi kwa kikazi.Katika ile project tulikua tunazunguka wilayani na kwene vijiji ndani ndani huko.
Nilikuja kufika sehemu ruangwa kuna vijiji tulienda huko ardhi ni bei ya kutupwa.
Ekari inauzwa elf 10 hapa kama unanunua serikali ya kijiji (ukitaka nyingi)
Kama una taka chache moja au mbili wananchi wanauza elf20
Kweli tanzania Bado ardhi nyingi!
Hizi ndo threads ninazo zipenda!!Mwaka 2022! Nilisafiri kwenda lindi kwa kikazi.Katika ile project tulikua tunazunguka wilayani na kwene vijiji ndani ndani huko.
Nilikuja kufika sehemu ruangwa kuna vijiji tulienda huko ardhi ni bei ya kutupwa.
Ekari inauzwa elf 10 hapa kama unanunua serikali ya kijiji (ukitaka nyingi)
Kama una taka chache moja au mbili wananchi wanauza elf20
Kweli tanzania Bado ardhi nyingi!
Aisee mbali mno, watoto wa wajukuu wangu?Labda kama unanunua ili waje warithi watoto wa wajukuu zako huko baadae. Huko Lindi si ndipo wafugaji waliofukuzwa kwenye hifadhi za taifa walikuwa wanapeleka huko mifugo Yao. Ni porini
Kwanini Kisarawe haiendelei? Wilaya zote za Pwani zinakuwa kwa kasi kasoro Kisarawe! Kulikoni?Lindi mbali sana
Hapo kisarawe ukipitia serikali ya vijiji heka moja unapata kwa laki moja kuanzia hekari 50 na kuendelea
Ni porini sio mjini unaelewa maana ya pori hakuna huduma zozote unazozijua weweElfu 20?????
Kumejificha sana sehemu yoyote iliyojificha kuendelea mtihani muulize Jokate na Nikki wa Pili watakupa majibuKwanini Kisarawe haiendelei? Wilaya zote za Pwani zinakuwa kwa kasi kasoro Kisarawe! Kulikoni?
Ina rutuba?au ndio tutalima mihogo?Lindi mbali sana
Hapo kisarawe ukipitia serikali ya vijiji heka moja unapata kwa laki moja kuanzia hekari 50 na kuendelea
Anakuchosha,kisarawe hakuna ardhi ya laki 1.Ina rutuba?au ndio tutalima mihogo?