wapi tunakosea? turekebishe vipi?

exactly, ingawa wengi hawalipendi hili... ukiambiwa twala bata inasaidia usijiachie sana. lol

Kama una ubavu bora Bata ule na vibabu atleast ndio wanajua appreciation ya hiyo kitu ,thubutuu na kijana mwenzio yan ni unajichakaza tu maana na vile anajua hamna featuring hapa he wont be responsible kwako kwa lolote lile............ni wanawake wangapi wapo willing kwa hili
 

duh! bata na mababu tena!!! bora kijana mbichiiiii ambae damu haijaganda bado. lol
 
mungu ndio kimbilio letu tunapoona kiza. ombeni nanyi mtapewa. emen!
 
mungu ndio kimbilio letu tunapoona kiza. ombeni nanyi mtapewa. emen!

Ni kweli lakini mkimbilie afix kile alichokupa incase kama kimeleta shida na most likely akikupa he is sure hakitakua na shida.....sisi tunafuta wenyewe kwa juhudi zetu then vikileta shida tunamkimbilia am sure yeye mwenyewe anapata hard time how to fix something u find on your own way
 
una akili wewe!
 
Wanawake mkiacha tamaa, duniani kutakua nusu au robo tatu ya raha za ahera.
 
Smile, ulichoongea ni theoritcal truth ingawa ndicho kilichotakiwa kuwa applicable.

Hii dunia ya siku hizi sijui inazinguka haraka kuliko hapo miaka ya nyuma?

Kuna ile hali ya kujihisi nisipomweleza mapema nia yangu atatokea mjanja mwingine aninyang'anye tonge mdomoni.

THE NICE GUY is no longer a favourite of you ladies. Sijui kwa nini but I actually have tried this one out...jaribu kuwa the good guy always talking vitu productive n just being a friend..aaaand away she goes akijisemea, "haoneshi hata kama ana malengo na mimi"

THE PLAYER has become the ladies' catch..all fall for him! coz he is outgoing, spreads his cash freely, takes you out, whatever you name it...ila mnajisahau kujifunza somo kuwa the moment umempanulia miguu all that supply of heaven on earth stuff evaporates.

I think i will take my bro's approach wait, wait n waiiiiiit...najua i won't get an angel but ntampata yule ambaye tutakuwa tayari kuchukua mambo a lil bit slower...maybe go live in Uranus since Earth's revolving speed has been overwhelming particularly kwangu!!!
 
Last edited by a moderator:

hahah hii makitu hii . . . . mmmmmhh!!!
 
 
Last edited by a moderator:
Jamani kuhongwa kipaji

Kuna wanamme wanajua kuhonga hadi mhongwaji unaumwa, huombi hata senti ila anakuingiza kwenye payroll moja kwa moja. Uwe una shida ama huna shida fungu lako liko pale pale.
Kongosho
Kuhonga ni rushwa katika mapenzi, kutoa pesa bila sababu za msingi ni kukosa maarifa... na tatizo hili husababisha ndoa nyingi kuwa na nyufa, wengi wa wanaume huhonga kipindi cha uchumba/urafiki, il hali uwezo wao kiuhalisia ni mdogo, mwisho wa siku ukiingia kwenye ndoa uwezo mdogo, hata matumizi ya ndani yanamshinda mwanaume.... ndo hapo sass kimbembe kinaanza!
 
Last edited by a moderator:
exactly, ingawa wengi hawalipendi hili... ukiambiwa twala bata inasaidia usijiachie sana. lol

sawia kufanana kabisa ktk mahusiano ni ngumu hata waliozaliwa tumbo moja hawafanani sembuse nyie mliokutana ukubwani cha maana mnaelewana nakupendana mengine mtarekebishana on the way
 
Wapi tunakosea is so complicated to point out.... Maana saa ingine mahusiano yanaweza kuwa na complications na bado wahusika wakashindwa pointing out tatizo ni nini hasa.

Tabia ya sasa ya wengi wa wanawake kwa waume kuogopa kujiachia katika mahusiano kwa sababu mbali mbali (nyingi zikiwa jusifiable) pia ni tatizo. Inakuwa kana kwamba kila mnalofanya ni mashindano kati ya wapenzi hao. Kila kitu kushindana, mtu anaona kumwoshesha mwenzi kuwa anampenda ni weakness, sasa moja ya basis ya survival ya penzi hilo ni mapenzi, tena basi mapenzi ya dhati... Na mapenzi ya dhati hayaongelewi mdomoni tu; yanaenda kwa vitendo ili hata mwenzio aelewe kuwa wampenda. Inapokuwa hutaki kuonyesha mapenzi kinacho baki ni nini?

Pia tusisahau wale ambao wapo kwenye mahusiano kwa sababu zao zaidi ya kuwa na mpenzi huyo; unakuta mwanaume kamfuata mwanake sababu ya kutaka tu kuwa analala nae na hali mwanamke nae pengine kamfuata huyo mwanaume sababu tu kile anachopata kwa huyo mwanaume...

Its not that simple kuelezea. Tumekuwa 'Fake' mno! Its complicated....

Niece Husninyo nashukuru kwa salamu. I hope you are as well as I am. Pamoja Saana.
 
Last edited by a moderator:
kutarajia makubwa kutoka kwa mwenzi wako , ubinafsi na asili ya mwanadamu kutaka zaidi badala ya kutoa zaidi ( leo ukipewa z , kesho unataka c , ukipata c keshokutwa unataka A , tunajisahau kuwa wenzi wetu nao ni wanadamu na tujenge uwezo wa kukubali na kushukuru kwa tulichonacho)

darasa zuri Husninyo
 
Last edited by a moderator:
tatizo ni moja tu wengi wapenzi wetu wa sasa ni second option kwa maana baada ya kushindwa kuwa na wale wa mwazno tulio wapenda kwa dhati kwa sababu mbalimbali!!! as a result yunakuwa na mapenzi nusunusu, na kila anayepita tunamtolea macho as hatujaridjhika na wapenzi tuliokuwa nao sasa
 
Be open for them to read, speak your mind freely and openly, listen to your heart, pray for your divine partner, be honest to yourself, judge not. This is not the right place to exercise willpower for love and will power are antagonistic by nature.

When you are done with the above preliminaries, relax and let go. The right partner will come at the right time. Your heart will know when the right partner appears in your life.

Caution: Avoid the temptation of trying to impress people. Take your time to impress yourself. Remember you have a life lo live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…