Mai-Ndombe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 542
- 833
Kesho kutwa nina safari ya kwenda Shirati mkoa wa Mara, wakati wa kurudi nitapita Mwanza kwa mapumziko ya siku mbili. Kipindi cha nyuma Villa Park na Dv8 zilikuwa 🔥🔥🔥. Kwa wana Mwanza ni kiwanja gani kinachobamba kwa sasa?