Wapi Picha ya tajiri Said Bakhresa

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
500
Jamani sijawahi kumwona Bakhresa kwa macho wala picha yake aise!. Huyu mdau kweli kafanikiwa kuweka maisha yake private yani hata kwenye mtandao hamna kitu. sasa aliyenazo picha za tajiri wetu nchini hapa hatuwekee humu tumfahamu!
 
MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,453
2,000
Mkuu.@Robbinhood Ukisha mfahamu ili iweje tena?Nnedna pale ofisini pake waweza kumuona katka kituo chake kikuu Dar Ice Cream Center Utmuona Said Bakhressa.

Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,949
2,000
Picha ya Bakhresa umewekewa, na je picha ya yule mjamaa tajiri kuliko wote Afrika Mhe Aliko Dangote wa Nigeria ulishaiona??? Huyu hapa:

Aliko Dangote_richest african.jpg

Alhaj Aliko Dangote, MFR, GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian self-made millionaire with an estimated net worth of $11.2 billion as of March 2012.He is the owner of the Dangote Group which has interests in commodities with operations in his homeland and several other countries in Africa. He is ranked by Forbes as the Richest Nigerian, Richest African and the 76th richest person in the world.
 
Sangarara

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
13,112
2,000
Picha ya Bakhresa umewekewa, na je picha ya yule mjamaa tajiri kuliko wote Afrika Mhe Aliko Dangote wa Nigeria ulishaiona??? Huyu hapa:

View attachment 73515

Kuna habari zingine zinasema kwamba utajiri wake ni wa kurithi, Africa. Kwamba babu yake alipata kuwa mtu tajiri kuliko wote West Africa karne moja iliyopita,
 
Nyunyu

JF-Expert Member
Mar 9, 2009
4,361
2,000
Picha ya Bakhresa umewekewa, na je picha ya yule mjamaa tajiri kuliko wote Afrika Mhe Aliko Dangote wa Nigeria ulishaiona??? Huyu hapa:

View attachment 73515

Alhaj Aliko Dangote, MFR, GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian self-made millionaire with an estimated net worth of $11.2 billion as of March 2012.He is the owner of the Dangote Group which has interests in commodities with operations in his homeland and several other countries in Africa. He is ranked by Forbes as the Richest Nigerian, Richest African and the 76th richest person in the world.
Mama mdogo, nikiulizwa kati ya huyu na JK nani wa ku-shake hands with!! This is the man to choose!!!
 
salosalo

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
580
500
nasikia jamaa anaishi kwenye chumba maalum
Ni kweli haishi jalalani huyu, mimi mwenyewe naishi kwenye chumba maalumu huku kwangu. huko hakupikiwi, haingii mtu isipokuwa mimi na mke wangu, wala hapalimwi viazi, hicho chumba ni maalumu kwa ajiri ya mimi na mke wangu. wewe huishi kwenye chumba maalumu?
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,580
2,000
Picha ya Bakhresa umewekewa, na je picha ya yule mjamaa tajiri kuliko wote Afrika Mhe Aliko Dangote wa Nigeria ulishaiona??? Huyu hapa:

View attachment 73515

Alhaj Aliko Dangote, MFR, GCON (born 10 April 1957) is a Nigerian self-made millionaire with an estimated net worth of $11.2 billion as of March 2012.He is the owner of the Dangote Group which has interests in commodities with operations in his homeland and several other countries in Africa. He is ranked by Forbes as the Richest Nigerian, Richest African and the 76th richest person in the world.
Jamani huyu jamaa si ndo wakati fulani alikimbilia Uingereza baada ya benki kuu ya Naija kudai kuna watu wamekula michongo hadi kutaka kufilisi nchi,kwa hapa Tz jamaa ndie anayetaka kujenga kiwanda cha Saruji kwa mheshimiwa Joka la Mdimu huko ukweni kwa muungwana
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,580
2,000
Jamani sijawahi kumwona Bakhresa kwa macho wala picha yake aise!. Huyu mdau kweli kafanikiwa kuweka maisha yake private yani hata kwenye mtandao hamna kitu. sasa aliyenazo picha za tajiri wetu nchini hapa hatuwekee humu tumfahamu!
Nafikiri hataki TRA wamjue bana,si unajua tena mambo ya kulipa kodi,sababu ukiwa tajiri mkubwa basi na lazima kwenye orodha ya TRA ya walipa kodi wakubwa 10 uwemo
 
Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
500
Nafikiri hataki TRA wamjue bana,si unajua tena mambo ya kulipa kodi,sababu ukiwa tajiri mkubwa basi na lazima kwenye orodha ya TRA ya walipa kodi wakubwa 10 uwemo
Inawezekana!. Mtu gani tajiri hivyo ajifiche namna hiyo!.
 
Top Bottom