CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mkuu mbumbumbu nashukuru kwa input yako kwani si rahisi kujua intention za watu waulizao vitu mbali mbali mtandaoni.
Sina nia yoyote mbaya na ndio maana nikaomba swali langu la mwisho lilikuwa ni kujua wapi naweza kwenda kupata usafiri wa kwenda kisiwani.ungekuja na jibu la swali langu ningeshukuru zaidi na tahadhari yako ya pm kwa Charminggirl haiswihi kwani hata huo mpango sina.
Nadhani itakuwa vyema kama wewe ndio ukaanza kum pm kwani tushajua unafanya biashara(joke)
Mambobut nadhan mbumbumbu umenena kitu muhimu atkaekuona mbaya mwache akuone bt ni ukweli mtupu watu wanapote kimazingara sikuhiz ooooooh
Mambo mambo na radio free africa. Hihihihhhhiii me mich uu 52Mambo
Mambo
but nadhan mbumbumbu umenena kitu muhimu atkaekuona mbaya mwache akuone bt ni ukweli mtupu watu wanapote kimazingara sikuhiz ooooooh
we mtoto daka dili ilo, ata xanane ujafika bado ndo bahat zenyew izo CG analeta pozi eti akixepa dk 5 hatazikuta bata zake.!!
Mambo mambo na radio free africa. Hihihihhhhiii me mich uu 52
Hahahaa ntakuchapa we totooo...!
Vipi weekend ya mwanza imekaaje?
Mpenzi weee mbumbumbu kamkata stim mgen sijui atakua kapata tuu watu si unajua wana jf wapo lukuki mza soo mi nimejilaza hapa tumbo mama laniuma tuubeibe.nasty, umeonana na mgeni?
Mpenzi weee mbumbumbu kamkata stim mgen sijui atakua kapata tuu watu si unajua wana jf wapo lukuki mza soo mi nimejilaza hapa tumbo mama laniuma tuu
pole mamito, u knw huwa inatokea scenario nyng km hzo na c kwamba hatufaham bali katukumbusha na kafanya vzr. ila kwa upande mwngne me con shda kumeet na mwanajf,its only meeting not otherwise! cjui we waonaje...
Sema unajua wanaume weng wanapenda sana kujaribu wasichana me napenda marafki tena sana ila ushenz ushenz wao ndo unanikera bt mgen tsar popote ulipo kama unaiona hii karibu mwaya mi na cg tupo pamoko. Ila wewe cg wewe unakes na mim
Sema unajua wanaume weng wanapenda sana kujaribu wasichana me napenda marafki tena sana ila ushenz ushenz wao ndo unanikera bt mgen tsar popote ulipo kama unaiona hii karibu mwaya mi na cg tupo pamoko. Ila wewe cg wewe unakes na mim
fo shoo kipenz,even me i like frnds. bt kuna wanaume wengne ukimeet nao wanahc unawataka me wananibore.enhe kes gan tena hebu ni Prime Minister tucjemwaga kuku weng kwenye mchele!