Nataka niende na demu wanguChemsha maji kwenye sufuria kubwa mpaka yatokote,kisha ipua hiyo sufuria yako,chukua blanketi zito jifunike nalo na hayo maji yawe yanatoa ule mvuke uvuje jasho la kutosha,yaani kiufupi jifukize, utakua umepata unachokitaka bila ghalama yoyote
Wakuu umofia kwenu ?? Naulizia wapi nitaweza pata sauna iliyo private maeneo ya Arusha..
Okay asante sana. Wanaruhusu watu kuingia wawili..mwanaume na mwanamke?Kibo palace hotel I recommend
Okay asante sana. Wanaruhusu watu kuingia wawili..mwanaume na mwanamke?
Hata mm nataka kujua it sounds like msosi flan hivi amezingSauna ni kitu gani?
Ni mchanganyiko wanaume na wanawake😅Okay asante sana. Wanaruhusu watu kuingia wawili..mwanaume na mwanamke?
Ila tatizo mtahudumiwa na watu wa sex tofauti. Wewe sababu ni ME, utahudumiwa na Mwanamke, huyo Mwanamke atahudumiwa na Mwanamme. Uko tayari kwa hilo?Okay asante sana. Wanaruhusu watu kuingia wawili..mwanaume na mwanamke?

Heh!! Hujawahi kula saunaSauna ni kitu gani?

Tulia spa nenda pale melia utapata service zore very nice.Wakuu umofia kwenu ?? Naulizia wapi nitaweza pata sauna iliyo private maeneo ya Arusha..
Unataka yenye malaya wenye matako makubwa?Wakuu umofia kwenu ?? Naulizia wapi nitaweza pata sauna iliyo private maeneo ya Arusha..
Vijana wa ugoro na ushoga kama nyie akili haziko poa jibu ulichoulizwaArusha is the first class multi culture city! Huwezi ulizia kitu ndogo hivyo.
Hiyo sio jiji la wavuvi, ni among the top tourism destination in the World alafu imagine unaulizia sauna thing
Haya jiji la wavuvi nimekaa paleee![]()
Mwenza muelekeze jiraniNi mchanganyiko wanaume na wanawake![]()