Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

Arusha is the first class multi culture city! Huwezi ulizia kitu ndogo hivyo.

Hiyo sio jiji la wavuvi, ni among the top tourism destination in the World alafu imagine unaulizia sauna thing [emoji2]

Haya jiji la wavuvi nimekaa paleee [emoji1787]
Asipo uliza atajuaje?
 
Haina bei kihivyo mwenza. Labda huko kwenye hiyo hotel.
Pesa ndogo tu nikija nakupeleka, unikumbushe.
[emoji1787][emoji1787] Bora ukanitoe ushamba mwenza ukija nakusubiri kuna siku niliona wakina mane wanasifia hotel nefeland sijui ya pale kagera wana hiyo huduma
 
[emoji1787][emoji1787] Bora ukanitoe ushamba mwenza ukija nakusubiri kuna siku niliona wakina mane wanasifia hotel nefeland sijui ya pale kagera wana hiyo huduma
Yes hapo napasikia watu wanasema ipo nzuri. Kuna shoga yangu alinitoaga ushamba sikuwa naijua😅😅
Tutaenda
 
Nenda uzunguni Kama sijakosea Kuna Lemon spa karibu na Breweries karibu na ofisi ya kata huwa napita hapo japo sijawahi ingia lakini nazani wanatoa huduma hiyo
 
Arusha is the first class multi culture city! Huwezi ulizia kitu ndogo hivyo.

Hiyo sio jiji la wavuvi, ni among the top tourism destination in the World alafu imagine unaulizia sauna thing [emoji2]

Haya jiji la wavuvi nimekaa paleee [emoji1787]
Jiji la wavuvi kwa taarifa yako ndio jiji la pili kwa uchumi baada ya Dar. Najua unajua.
 
Back
Top Bottom