Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

Yes hapo napasikia watu wanasema ipo nzuri. Kuna shoga yangu alinitoaga ushamba sikuwa naijua[emoji28][emoji28]
Tutaenda
[emoji23][emoji23][emoji23]Na me nakusubiri ukanitoe ushamba sijawahi ujue hii Dec hauji birthday yangu mwezi huu mwishoni huko ungekuja tungeonana kwenye birthday dinner
 
Nilikuwa huko last week.
Happy birthday in advance 😀
 
Bado sijaona mtu Alie weza kuelezea kwa ufasaha hiyo sauna n Nini hasa?
 
Sauna ni kinder of a steam room

Simply ni chumba cha kujifukiza na kuogeshwa maji motooo…

Si unajua ukijifukiza unasweat ? Taka zinatoka?

Sasa Sauna inafanyika kwa mwili mzima
 
Iko ndan ya grand melia
Yes , Ingia ndani ya melia utakuta parking area unaelekea mbele kule gym humo ndani ya gym ndio ipo hiyo tulia spa wanayosauna safi sana hata massage yake . Utakuta wameandika au Ingia hotelini ulizia au hapo nje kabisa Kwa security .
 
Ni sh ngapi??
 
Back
Top Bottom