Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

Wapi ntapata Sauna Jijini Arusha?

Sauna ni kinder of a steam room

Simply ni chumba cha kujifukiza na kuogeshwa maji motooo…

Si unajua ukijifukiza unasweat ? Taka zinatoka?

Sasa Sauna inafanyika kwa mwili mzima
Hiyo ni Steam. Ndiyo yenye mvuke.

Sauna ni aidha ya mawe au Joto la maji.
 
Pole NAONA wengi hawaja kuelewa unataka nini ?

Nenda njiro mtaa wa PPF UKITOKEA BRABARA YA KIJENGE UKIFIKA KWENYE RELI PINDA KUSHOTO.

PANAITWA PLAYS BEI ZAO NI RAFIKI SANA UKILIPIA SAUNA, GYM NA SWIMMING POOL UTATUMIA BURE
 
Sauna ni kinder of a steam room

Simply ni chumba cha kujifukiza na kuogeshwa maji motooo…

Si unajua ukijifukiza unasweat ? Taka zinatoka?

Sasa Sauna inafanyika kwa mwili mzima
Nashukur ndugu
 
Pole NAONA wengi hawaja kuelewa unataka nini ?

Nenda njiro mtaa wa PPF UKITOKEA BRABARA YA KIJENGE UKIFIKA KWENYE RELI PINDA KUSHOTO.

PANAITWA PLAYS BEI ZAO NI RAFIKI SANA UKILIPIA SAUNA, GYM NA SWIMMING POOL UTATUMIA BURE
Bei gani ili tujipange na kingwendu aende
 
Pole NAONA wengi hawaja kuelewa unataka nini ?

Nenda njiro mtaa wa PPF UKITOKEA BRABARA YA KIJENGE UKIFIKA KWENYE RELI PINDA KUSHOTO.

PANAITWA PLAYS BEI ZAO NI RAFIKI SANA UKILIPIA SAUNA, GYM NA SWIMMING POOL UTATUMIA BURE
Wana private facilities..yaan naeza ingia na demi wangu
 
Iko ndan ya grand melia
Yes , unaingia ndani ya geiti ukiwa unataka Kuelekea reception Kwa juu Kuna parking , park gari hapo halafu endelea kupanda Kwa mguu utakuta gym na ndani Kuna reception ila zimeandikwa kabisa tulia spa halafu gym watakuelekeza au hapo geitini kabla hujaingia ulizia watakupa direction unapata huduma zao ni nzuri sana .

Hata mazoezi Yao waliimu wako poa .

Tu uuu.
 
Back
Top Bottom