Wapi ntapata mshangazi wa kizungu?

Guga resta tu kisha nenda zako zanzibar miezi sita haitaisha utakuwa ushapata ila uwe unatembelea ufukweni wazungu kibao , wazungu hawana mambo mengi ukimsemesha hata siku tatu haziishi anabeba mzigo
Hili nalifanyia kazi mkuu. Wacha nikusanye nauli. Itabidi wanafamilia wanchangie.
 
Mmmh tuko wengi duh
 
OMBA MACHO YA ROHONI VINGINE HAVIONEKAN MWILINI
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwa hiyo kumbe ni kiini macho. Pale ni walami tupu sema tunafanywa tuone ni wanyaturu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…