Wapi nitaweza kudownload Korean drama(series)

hivi kwanini kila m2 anatumia IDM, what's so special about it?
 
mkuu mi ninazo zote kuanzia jumong, land of wind, emperor of the sea, slave hunter, great queen seondeak,jewel of the palace etc, nikupe ipi ??
 
hivi kwanini kila m2 anatumia IDM, what's so special about it?

nimetest karibia download manager zote maarufu idm,fdm,dam na dap kila moja ina faida yake na hasara yake.

kati ya zote hizo mi nazipenda mbili dam na idm. interms of speed dam anamuacha idm for sure ila idm ana uwezo mkubwa wa kucatch video za streaming.

iwe ni mp4 au flv idm inadaka iwe ni youtube au site nyengine idm inapeta ndo mana unaona watu wanaipenda
 
Mkuu, chief-mkwawa kumbe na wewe ni mdau upande huu! - umeniwahi kumpa huyu jamaa link!

Nilitaka kumshauri hiyo hiyo GoodDrama.NET as pia ina option ya video zaidi ya 3 kwa kila episode.

Kama hajui ni Drama Ipi anaitafuta basi ni vizuri ukafuata link ya ambazo zina review kubwa (POPULAR) as unakuta watu wengi wameshaziangalia na ku-VOTE kuwa ni ipi imewavutia. Therefore yenye VOTES nyingi mara nyingi ndio unakuta ni nzuri.

Fabian the Jr

LINK: http://www.gooddrama.net/popular-drama

AU: http://www.gooddrama.net/drama-shows#korean-drama

mkuu mi ninazo zote kuanzia jumong, land of wind, emperor of the sea, slave hunter, great queen seondeak,jewel of the palace etc, nikupe ipi ??

Transporter

Hizo zote cha mtoto kama unataka ku-enjoy Historical drama nzuri kuliko hizo jaribu kuangalia hizi

1. Dong Yi

2. Yi San

3. Horse Doctor

Link: http://www.gooddrama.net/korean-drama/horse-doctor

4. Arang The Magistrate
5. Faith
6. Princes Man

Hebu anza na Dong Yi alafu ndio ujue what it means unaposema among best Historical K-drama
.
 
mkuu mi ninazo zote kuanzia jumong, land of wind, emperor of the sea, slave hunter, great queen seondeak,jewel of the palace etc, nikupe ipi ??

mkuu mi napenda sana hyo slave hunter,nitakupate?
 
kuna series naziona za gooddrama single link sijajua ni jamaa wanaunga vile vipande au kuna ujanja unadownload episode nzima kwa pamoja.

we ushawah kuona kitu kama hicho?
 
mkuu mi ninazo zote kuanzia jumong, land of wind, emperor of the sea, slave hunter, great queen seondeak,jewel of the palace etc, nikupe ipi ??

duh mkuu naihtjaj saana iyo great qee sedeouk, nitaipataje mkuu.
 
Yes guys, safi sana, i like ths forum!
 
mkuu ktk hizo sijaiona namba 3 na 4 tu nyingine nimeziona japo kuna baadhi sikumaliza ila ni nomaa kama hiyo nmba 6 ni balaa thanks anyway
 
natumia Orbit Downloader, na imo freshy, nafikiri wa2 wanapenda IDM kwa sababu ni maarufu.

orbit ni nzuri kwa kudownload mafile meng kwa mpigo.. Bt sidhan kama inakamata streaming videos..
Idm bado iko juu mkuu
 
Niko Dodoma huku mkuu, nitaipataje? nimemiss epsode kadhaa kuanzia ya 31 hadi ya 37 na kuanzia ya 58 mpaka ya mwisho.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…