Riccristin
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 350
- 51
Kwa yeyote ambaye anajua spare za volvo s80 zinakopatikana kwa hapa bongo...

Umeona eeh!! spea za hiyo mitambo adimu kaka. jaribu tu second hand gerezani kwa mambingwa wale hakuna kinachokosekana! kama unamjua mtu scandinavia agizia tu. bei yake ni rahisi kuliko hizo utakazo nunua hapa mitaani. kisha a tip to that series never skip service once the dash board ask you to. uta enjoy hiyo gari mpaka utakuwa na wasiwasi. ukiwa unabadili oil, oil filter na plugs on time hiyo gari mimi sasa mwaka wa tatu huu. sijagusa machine

Bos ni Volvo Semi-trailer ama gari ndogo?
S- series ni gari ndogo Mkuu!! S70, 50, 60, 80 kama ya mkuu hapo juu zote ni ndogo zile na milango ya kuinua nyuma. kisha kuna hizo V series. hizi zina buti nyuma. machine nyingi zake zinaingiliana. tofauti ni kwenye vifaa vingine.
Bos ni Volvo Semi-trailer ama gari ndogo?
Mkuu ukiwa na shida ya spare parts ya volvo waweza kunijulishaKwa yeyote ambaye anajua spare za volvo s80 zinakopatikana kwa hapa bongo...