wapi nitapata volvo spare parts??

Kwa yeyote ambaye anajua spare za volvo s80 zinakopatikana kwa hapa bongo...

Umeona eeh!! spea za hiyo mitambo adimu kaka. jaribu tu second hand gerezani kwa mambingwa wale hakuna kinachokosekana! kama unamjua mtu scandinavia agizia tu. bei yake ni rahisi kuliko hizo utakazo nunua hapa mitaani. kisha a tip to that series never skip service once the dash board ask you to. uta enjoy hiyo gari mpaka utakuwa na wasiwasi. ukiwa unabadili oil, oil filter na plugs on time hiyo gari mimi sasa mwaka wa tatu huu. sijagusa machine
 
thankx kaka nitoe namba zao kama unazo..
 
Bos ni Volvo Semi-trailer ama gari ndogo?
 
S- series ni gari ndogo Mkuu!! S70, 50, 60, 80 kama ya mkuu hapo juu zote ni ndogo zile na milango ya kuinua nyuma. kisha kuna hizo V series. hizi zina buti nyuma. machine nyingi zake zinaingiliana. tofauti ni kwenye vifaa vingine.
 
Ni opposite kidogo Mkuu, S series ndiyo zenye buti nyuma, Na V-series ndio zenye milango 3 ama 5.
 
gari nazipenda sana hizo, ila spair bongo.ni tatizo sana,ajabu ni kuwa zamani watu waliebdesha sana gari za ulaya, kama hizo volvo,ford, pigeot, volswagen,renault, na spair zilipatika. leo hii roho za watu zimehamia toyota as if toyota.ndo gari pekee,while toyota ni low quality hamfikii hata nissan kwa ubora.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom