Hii hapa mkuu.Habari wakuu... leo nimetoka nunua nokia 6 na leo hii hii nikadondosha imecrack vya kutosha.... wapi naweza pata Touch yake?
kama ni crack tu ya touch na kioo cha ndani ni kizima ananunua tu digitizer bila lcd. bei yake haifiki hata dola 10.
Habari wakuu... leo nimetoka nunua nokia 6 na leo hii hii nikadondosha imecrack vya kutosha.... wapi naweza pata Touch yake?
mkuu naomba unidirect wapi napata huduma hii pia make kuna simu ya ndugu yangu nokia 6 imepata cleck za kutosha ila touch yake ndani inafanya kazi tu bila wasi wasi tatizo ndo hulo fashion yake imepotea..vipi huduma hii vipi..??kama ni crack tu ya touch na kioo cha ndani ni kizima ananunua tu digitizer bila lcd. bei yake haifiki hata dola 10.
Aggrey mkuu, ila uwe makini sanamkuu naomba unidirect wapi napata huduma hii pia make kuna simu ya ndugu yangu nokia 6 imepata cleck za kutosha ila touch yake ndani inafanya kazi tu bila wasi wasi tatizo ndo hulo fashion yake imepotea..vipi huduma hii vipi..??
lakini mkuu...nokia andoroid zina protector kweli mboma kama naona kioo kimoja tu ...Aggrey mkuu, ila uwe makini sana
-kuna touch/digitizer feki ukiekewa hata kutype itakuwa tabu.
-wengine wanatumia gundi za viatu,kioo kinaweza vimba kikatokezea kwa juu.
-wakati wa kuchoma moto na kubandua touch inawezekana kuharibu na kioo chenyewe.
Kifupi hii process ni risk kwa hizi simu za kisasa, bado tunahitaji vifaa vya kisasa zaidi.
Kama simu bado haina tatizo aweke tu protector aendelee kutumia.
Au agizishia online vifaa original ili kupunguza risk ya feki huku kwetu kisha utakuja tu kubadilishia huku.
Protector nilimaanisha ile ya kununua ya 2000.lakini mkuu...nokia andoroid zina protector kweli mboma kama naona kioo kimoja tu ...??
Au lakini mkuu...nokia andoroid zina protector kweli mboma kama naona kioo kimoja tu ...
Au display unayoongelea ni ipi make nokia naona zina kioo cha juu kigumu tu au ndo protector hiyo na kioo ndo kipo ndani...??
ok...poa..shukraniProtector nilimaanisha ile ya kununua ya 2000.
Ila yenyewe pia ina layer ile ya juu na kioo chenyewe ndani. Simu yoyote ukisikia ina gorilla glass ujue ipo hivyo.