Yuko karibu na clock tower ukiwa tayari ni pm nikupe namba ukapendeze kibabehuyo itabidi nmtafute mambo yakikaa sawa, yupo mtaa gan
Naomba contacts zake.Kuna mwanangu mmoja ananishonea suti na kitambaa kwa laki tu na zimesimama balaa na vitambaa quality sio kama midosho ya kichina
Hahaaaaaaaaaaaa,mkuuuuuuuuuuuAhahahah mi nataka na waya wa maskion ule kama Wazee wa DAR FREE MARKET
zimesimama balaa na vitambaa quality
Yuko karibu na clock tower ukiwa tayari ni pm nikupe namba ukapendeze kibabe
Tuwasiliane PM ChiefYuko karibu na clock tower ukiwa tayari ni pm nikupe namba ukapendeze kibabe
Atakuwa ana kiwanda chake cha vitambaa.Kuna mwanangu mmoja ananishonea suti na kitambaa kwa laki tu na zimesimama balaa na vitambaa quality sio kama midosho ya kichina
Weka contact twende tumpe kazi ila wengine ni bonge bei iwe hiyo hiyoKuna mwanangu mmoja ananishonea suti na kitambaa kwa laki tu na zimesimama balaa na vitambaa quality sio kama midosho ya kichina
Kama Ya Mwalimu Wa ZamuIsije ikawa ina pindo chini tu 😅😅😅