Wapi nitapata paka wenye manyoya mengi

Wapi nitapata paka wenye manyoya mengi

THOMASS SANKARA

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
2,066
Reaction score
4,769
Salaam,

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,naombeni msaada wa kupata wale paka wazuri wenye manyoya mengi.

Ningependa kujua wanapatikana wapi,kama wanauzwa je ni bei gani na ingependeza sana kama atakuwa mdogo nikaanze kumlea mwenyewe kwa maadili na nidhamu ninayotaka.

Natanguliza shukrani.
 
Nitakujulisha kuna jamaa zenji anafanya breeding ya wale fury cat mi ninaye dume mmoja matata sana na mtaan ana mbegubkibao ila kazaa na paka porinso ukimchukua huyo wajukuu ndio watakuwa poa
 
Hapa pembeni ya Akiba Commercial Bank kinondoni kuna wauza chips wawili mmoja anaitwa boboo huyo boboo ana lipaka linene jamani nafikiri ni obesity lina manyonya likubwa halafu lizuri sana, mlo wake sasa samaki mzima au paja la kuku, anatafuna bigjii na kupuliza puto nliwauliza huyu anakamata panya wakanjibu anakamata anaua ila hali panya likitembea linaringa sana, paka wa Dar bwana mabishoo kama wanaowafuga.
 
hahaaa mshauri huu uongo sasa, asubuh subuh hii kuumizana mbavu
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,naombeni msaada wa kupata wale paka wazuri wenye manyoya mengi.

Ningependa kujua wanapatikana wapi,kama wanauzwa je ni bei gani na ingependeza sana kama atakuwa mdogo nikaanze kumlea mwenyewe kwa maadili na nidhamu ninayotaka.

Natanguliza shukrani.

kwa marehemu bibi nyau njia ya kwenda popo bawa
 
Nitakujulisha kuna jamaa zenji anafanya breeding ya wale fury cat mi ninaye dume mmoja matata sana na mtaan ana mbegubkibao ila kazaa na paka porinso ukimchukua huyo wajukuu ndio watakuwa poa
Sawa ali ntashukuru.

Unaweza ntumia picha yake huyo paka wako ??

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hapa pembeni ya Akiba Commercial Bank kinondoni kuna wauza chips wawili mmoja anaitwa boboo huyo boboo ana lipaka linene jamani nafikiri ni obesity lina manyonya likubwa halafu lizuri sana, mlo wake sasa samaki mzima au paja la kuku, anatafuna bigjii na kupuliza puto nliwauliza huyu anakamata panya wakanjibu anakamata anaua ila hali panya likitembea linaringa sana, paka wa Dar bwana mabishoo kama wanaowafuga.
Anhaaa ukufanikiwa kujua kama ana watoto wa breed yake ili kama naweza kujipatia na mimi nakala yangu

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,naombeni msaada wa kupata wale paka wazuri wenye manyoya mengi.

Ningependa kujua wanapatikana wapi,kama wanauzwa je ni bei gani na ingependeza sana kama atakuwa mdogo nikaanze kumlea mwenyewe kwa maadili na nidhamu ninayotaka.

Natanguliza shukrani.
Mganga anataka mengi mangapi na rangi gani?
 
Mkuu nataka mdogo wa kumfuga hapa nyumbani ila ni ile breed ya walio na manyoya mengi na miili mikubwa.

Ni sawa na mwingine anapo amua kufua mbwa breed kama german shephard nk.

Mimi napendelea paka zaidi.
 
THOMAS SANKARA ngoja kesho nitakuulizia.

reyzzap unafkiri uongo yule paka ni noma, boboo kama sahivi anakula nyama choma na soda na paka yupo pembeni na pande la paja anatafuna, yule ni noma hata mtu akimuiba atapata dhambi tu, maana itakuwa anasubiria ampe fulu wa mwanza au mifupa ya samaki atamtesa tu.
 
, anatafuna bigjii na kupuliza puto likitembea linaringa sana, paka wa Dar bwana mabishoo kama wanaowafuga.
Mbavu kidogo zinichomoke yaan paKa anatafuna BIG G na kupulza kabisa
Hii chai umezidisha sukari
 
THOMAS SANKARA ngoja kesho nitakuulizia.

Sawa amu ntashukuru sana mtto mzuri
 
Back
Top Bottom