Wapi nitapata paka wenye manyoya mengi

Wapi nitapata paka wenye manyoya mengi

Kama utamuweka kwenye kiyoyozi sawa,
Maana hao wenye manyoa mengi nafikiri ni mbegu toka nchi za baridi
Sasa kwenye joto la huko naona utakuwa unamtesa tu
 
Kama utamuweka kwenye kiyoyozi sawa,
Maana hao wenye manyoa mengi nafikiri ni mbegu toka nchi za baridi
Sasa kwenye joto la huko naona utakuwa unamtesa tu
Ni kweli ila kama kazaliwa hapa hapa bongo hamna shida kwa kuwa mwili una adopt mazingira.

Tatizo lingekuja kama ingekuwa tumemleta moja kwa moja toka bara za baridi.
 
Salaam,

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,naombeni msaada wa kupata wale paka wazuri wenye manyoya mengi.

Ningependa kujua wanapatikana wapi,kama wanauzwa je ni bei gani na ingependeza sana kama atakuwa mdogo nikaanze kumlea mwenyewe kwa maadili na nidhamu ninayotaka.

Natanguliza shukrani.
laki 7 mmoja wakizungu
 
Attachments

  • InShot_20200521_103921550.jpg
    InShot_20200521_103921550.jpg
    106.5 KB · Views: 10
Salaam,

Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,naombeni msaada wa kupata wale paka wazuri wenye manyoya mengi.

Ningependa kujua wanapatikana wapi,kama wanauzwa je ni bei gani na ingependeza sana kama atakuwa mdogo nikaanze kumlea mwenyewe kwa maadili na nidhamu ninayotaka.

Natanguliza shukrani.
 
Kuna mbongo mmoja tulikuwa naye Poland wkt fulani tena yeye ndiye Rais wa watanzania hko smbdy sambali, mke wake ni mpolish na ndy biashara yake kubwa.... Ana mijipikaaa anauza bei kweli
Hii biashara inafanyika aise

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom