Broo huyu ni breed ipi???Njoo uchukua...View attachment 889267
kama n kweli huo ndo uhujumu uchumi wa waz waz, na huyo paka anakula kodi za watanzania, huyo paka muueni kisiri siri, Nyerere angekuepo huyo Boboo na paka wake wangeshapewa kesi ya uhujumu uchumiTHOMAS SANKARA ngoja kesho nitakuulizia.
reyzzap unafkiri uongo yule paka ni noma, boboo kama sahivi anakula nyama choma na soda na paka yupo pembeni na pande la paja anatafuna, yule ni noma hata mtu akimuiba atapata dhambi tu, maana itakuwa anasubiria ampe fulu wa mwanza au mifupa ya samaki atamtesa tu.



Swahiba eeeeMashart ya mganga
We ni jinsia gani mkuuSwahiba eeee![]()
![]()
![]()
![]()
Sio hivyo kiongozi mimi napenda paka tu wa kufuga ndani kwangu ila nataka ile mbegu nzuri yenye miili mikubwa na manyoya mengi.
Nisawa na wengine wanaopenda mbwa.
Mimi napenda zaidi paka.
Ni kama pambo tu.
Nataka nipate mdogo ili niweze kumlea mwenyewe kwa maadili mema na nidhamu ya hali ya juu.
Ahahaahahah.We ni jinsia gani mkuu
Tuanzia hapo kwanza
Sasa je! Masista duu wanapendaga sana vipaka na vijibwa vile vipuppy ila mabrazameni wanapendaga midogi,Ahahaahahah.
Hivi mkuu ufugaji wa viumbe hawa kumbe vinaendana na jinsia eeee??
Ni kweli mkuu mimi mbwa nimefuga sana aina ya german shephard mara ya mwisho nilikuwa na mbwa 8 kila jumapili baada ya kuwaogesha natoka nao jioni kwenda jogging.(siku ya out)ila watata hao wakiona watu na mbuzi njiani wanasumbua sana.Sasa je! Masista duu wanapendaga sana vipaka na vijibwa vile vipuppy ila mabrazameni wanapendaga midogi,
wenzako jana tulikuwa tunadiscus kina pitbull na german shepherd
AhahahahahaUnataka uanze kuwanga vipi?
Angalia wengine wameaga nyumbani kwao, wasije wakakuvunja kiuno na nyau wako
sawa kiongoziSawa sawa mr.nyau utapataNi kweli mkuu mimi mbwa nimefuga sana aina ya german shephard mara ya mwisho nilikuwa na mbwa 8 kila jumapili baada ya kuwaogesha natoka nao jioni kwenda jogging.(siku ya out)ila watata hao wakiona watu na mbuzi njiani wanasumbua sana.
BTW Mbwa ni viumbe wazuri sana.
Ila kwa sasa nataka paka kiongozi wangu
Hawafai huwa ni wezi sana hao..Salaam,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,naombeni msaada wa kupata wale paka wazuri wenye manyoya mengi.
Ningependa kujua wanapatikana wapi,kama wanauzwa je ni bei gani na ingependeza sana kama atakuwa mdogo nikaanze kumlea mwenyewe kwa maadili na nidhamu ninayotaka.
Natanguliza shukrani.
Ndio maana ninataka mdogo ili niweze kumfuga kwa maadili mema,nidhamu ya hali ya juu na tabia nzuri ya kutukuka kabisa.Hawafai huwa ni wezi sana hao..
Hahahahahaaaa amu Mungu anakuonaanatafuna bigjii na kupuliza puto
@amuHapa pembeni ya Akiba Commercial Bank kinondoni kuna wauza chips wawili mmoja anaitwa boboo huyo boboo ana lipaka linene jamani nafikiri ni obesity lina manyonya likubwa halafu lizuri sana, mlo wake sasa samaki mzima au paja la kuku, anatafuna bigjii na kupuliza puto nliwauliza huyu anakamata panya wakanjibu anakamata anaua ila hali panya likitembea linaringa sana, paka wa Dar bwana mabishoo kama wanaowafuga.