Wapi nitapata nyama choma nzuri-Dar

Wapi nitapata nyama choma nzuri-Dar

Domo Zege

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2010
Posts
692
Reaction score
229
Wapendwa,

Ni wapi (kiwanja) naweza pata nyama choma nzuri kwa dar.

Domo Zege
 
Kwa Mwigeka, anachoma sana mbuzi, ila
tatizo lake wateja wakiwa wengi
anachanganya na nyama ya mbwa kidogo. Ila kama wewe ni Mhehe au Msafwa, haina noma.
 
nenda FULLDOSE mkuu, ipo mabibo kule karibu na mtandao wa kijinsia (TGNP)
 
Nyama ya nini? Fafanua... Kama Ngrrrrr... Dar nenda kwa Afande Mwenge jirani na Sungu chini,kama Mbeya nenda SAE PUB karibu na Club E Point... Iringa nenda Mabanda ya UVCCM iringa...
 
Nyama ya nini? Fafanua... Kama Ngrrrrr... Dar nenda kwa Afande Mwenge jirani na Sungu chini,kama Mbeya nenda SAE PUB karibu na Club E Point... Iringa nenda Mabanda ya UVCCM iringa...

Mkuu naomba elekeza jinsi ya kufika hapo kwa afande mwenge
 
nenda FULLDOSE mkuu, ipo mabibo kule karibu na mtandao wa kijinsia (TGNP)
#

Asante kiongozi,

Nitatembelea w-kend hii, kama unasehemu nyingine unayoifahamu kwa hapa dar mitaa kama ya Sinza, Kimara,Mwenge etc naomba unijuze
 
nenda SAN DIEGO BAR tandika.pata nyama choma ugali.halafu ukitka kuinjoy panda ukae juu ghorofani kwenye upepo. sema tatizo la tandika wakati huu wa mvua barabara zimejaa maji. sijui nikushauli uende pale MWANGAZA KAWE!!? tatizo lake pale pako finyu. Mkuu kama utakuwa na demu nenda BAKULE PUB kinondoni ukimaliza kula kuna hata sehemu nzuri ya kupumzika hata wakikata umeme jenenreta linawashwa. mia
 
Kama unataka twiga wa kuchoma ni-PM fasta.
 
Back
Top Bottom