Wapi Nitapata Hii Makitu??

Ha ha haaaa mkuu grafani11 watu wa zamani walikua na mbinu nyingi za uonezi dah!
Wajaribu sasa hivi waone jinsi kizazi kinavyojua haki zao.

Mjomba anaweza kujikuta kapelekwa kwa pilato kisa kala mhindi wa mtoto.
 
Ni msimu mwingine wa mvua umefika, naomba kuwauliza wenzangu wapi nitapata mahindi ya kuchoma?? Mwenzenu ni mpenzi sana wa hii makitu...


mbona kila kona hii bidhaa inapatikana au ww unakaa pande za wapi:smile-big::smile-big:kule upepo unakoanzia nn?
 
mbona kila kona hii bidhaa inapatikana au ww unakaa pande za wapi:smile-big::smile-big:kule upepo unakoanzia nn?

Hahahahh....hebu nielekeze basi best kama pande yako huko hii bidhaa yapatikana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…