Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

Chief mi natumia HP pavilion GTX 1050 vram 2Gb nachezea fifa 23 in low graphic natumia transcend external driver sometimes Ina lag je inaweza kuwa transcend maana SSD ni ndogo gb 128
Game lina lag sio? Inaweza kuwa ram, cpu, Gpu ama hdd, cha muhimu kama hizo lag zinaendelea kwa muda fungua task manager then angalia kitu gani kipo 100% ama close to 100% hio ndio bottleneck yako.

Ninavyofahamu hdd sio sana kuleta tatizo, load times zitakua ndefu ila load vikiisha ina maana data zipo kwenye ram hutumii hdd.
 
Asante nitafanyie Kaz hiyo
 
Mi naombeni ushauri wa laptop au desktop nZuri ya kuweza kiedit na kurender 4k videos kwa muda mfupi kidogo.... Bajeti ya kuunga unga
 
Kama kiasi gani?

Kuna gpu inaitwa Quadro P620 unaipata around laki 1 hivi, kwa kenya kama una connection hadi 80,000 hivi, Gpu nzuri inacover codecs zote za kisasa ukitoa AV1.

Hio plus i7 ya kizamani inatosha.

Kama budget ipo nzuri kiasi chake inafika laki 3-4 unaweza chukua workstation za Xeon, zinakula umeme balaa ila perfomance kubwa.
 
Chief kwanini hizi RAM haziwezi kuboot Mashine pamoja ila ukiweka separate zinawasha, nime update Bios lakini issue Bado. Mwanzo Zilikua zinafanya kazi pamoja ila katikati Moja ikazima.
 
Attachments

  • Screenshot_20250412-011447.png
    Screenshot_20250412-011447.png
    2.5 MB · Views: 12

Hazina tatizo mkuu zote zipo sawa specs wise zilitakiwa kupiga kazi, maybe moja imeanza kufa.
 
Back
Top Bottom