gaming

  1. jT0078

    JamiiForums Tanzania Nauza charger za gaming Laptop

    Nauza charger za gaming laptop za aina zote. Mahali: Ilala, Dar es Salaam Mawasiliano: 0767 953 873 Karibu kwa maelezo zaidi au kuagiza charger inayofaa kwa aina ya gaming laptop yako.
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Game jipya la mpira FC 27, hakun aliyetarajia kama itakuwa hivi

    Sahau kabisa muundo wa Zamani (Menu ya Zamani), toleo jipya la FC 27 The Grounds ndiyo moja ya mabadiliko makubwa yanayotarajiwa kuja kwenye EA Sports FC 27. Badala ya kuchagua mechi kupitia menu za kawaida, mchezo umebadlika unakupeleka kwenye dunia ya wazi (open world) ambapo wachezaji...
  3. Mtukutu Mkuu

    JamiiForums Tanzania NAUZA GAMING LAPTOP YANGU GTX 1650 HP PAVILION

    Wakuu kwema ninauza gaming laptop yangu ina speci hizi Core i7 gen 9 ram 16 hp pavilion gtx 1650 vram 4gb ssd 256 ssd sata tb 1 core i7 gen 9 battery 1hours windows 11 bei 680k serious buyer dm me au 0627796644 inafaa kwa gaming na graphic
  4. X

    JamiiForums Tanzania China yaingia rasmi soko la memory chip (DDR5) na gaming GPU. Samsung, SKhynix, Nvidia, Micron na AMD tumbo joto

    Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani. Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata. Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
  5. B

    JamiiForums Tanzania ASUS TUF GAMING PC INAUZWA 1.7M

    ASUS TUF GAMING A15 CPU………AMD Rayzen 74800H GPU………GTX 1650Ti. 4GB RAM…….. 16GB DDR 4 ROM……..512 NvMe SSD DISPLAY…..144 hz refresh rate RGB KEYBOARD FULL Kwa mawasiliano 0612630936 price ya hii pc 1.7M
  6. Official jr

    JamiiForums Tanzania GAMING PC FOR SALE

    GAMING PC MOTHERBOARD: CVN B460 GAMING FROZEN CORE i5 -10500 12 CPUs (10th GENERATION ) RTX 2060 6GB 16GB RAM (DDR4) 4 Slots 120GB SSD 500GB HDD 520Watt Antec PSU NZXT CASE ORIGINAL LENOVO CONTROLLER GAMES: FC 25 COD MODERN WARFARE II UNCHARTED COLLECTION GTA COLLECTION PRICE: 1.3m...
  7. Joachim Mabula

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kwa Gaming Board of Tanzania Kushindwa Kisimamia Sheria!

    Ninawasilisha andiko hili kwa nia ya kuonesha kukatishwa tamaa kutokana na uzembe wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (Gaming Board of Tanzania) katika kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa sheria na kanuni zinazoongoza sekta ya michezo ya kubahatisha nchini. Kwa mujibu wa Kifungu cha...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote humu aliyepigiwa simu au kutumiwa email na gaming board of Tanzania kuwa kapata kazi?

    Kuna jamaa angu kaniambia eti gaming board of Tanzania ishawatumia watu email na kuwapigia kuwa wamepata kazi? Je humu jf kuna mdau yeyote aliyefanya oral ambae kapigiwa na hao jamaa? maana utaratibu wao wa recruitment unashangaza sana.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

    Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not. Hawa watu ukiwatizama wana changamoto nyingi unaweza kusema wanatengeneza mazingira ya kupachika watu wao.mifano ni hii. 1...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi gaming board wameita watu kazini?

    Nina mrembo wangu amepiga oral anasikilizia majibu ya hao jamaa. Alifanya nafasi ya license officer week mbili zilizopita. Nauliza kama wameishaita kazini au bado?
  11. Isenye

    JamiiForums Tanzania Gaming board mko vizuri lakini maswali yenu ni magumu mno na panel yenu ina watu wengi afu makauzu

    Leo tumepiga oral pale gaming board. Jamaa wako vizuri,interview ilikua iko organized vizuri tu kwa kweli. Kimbembe ni maswali yao ni magumu sio poa, panelist walikua 10 afu makauzu hawacheck na kima.
  12. Isenye

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa oral interview Gaming board of Tanzania

    Mko poa wapambanaji wenzangu? Ebana nimeitwa oral interview gaming board of Tanzania nafasi ni gaming inspector iii. Jamaa wanapiga simu hawatoi majina ya waliofaulu mtu ajijue kapiga ngapi. Kaeni karibu na simu zenu. Mwenye kujua abc za oral interview za hawa jamaa zinakuagaje atupie hapa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Gaming board wanataka kuchakachua matokeo ya written interview

    Wakuu,tusaidiane kupaza sauti,hawa gaming board kuna uhuni nadhani wanataka kuufanya, Tumefanya interview ya kuandika week tatu zimepita,hawajatoa majibu mpaka leo,number ya candidates hata haikua kubwa kiasi cha kusema bado wanasahihisha hadi leo,utumushi tumefanya juzi interview watu...
  14. Newcastle1234

    JamiiForums Tanzania Advantages za Aviator Online Gaming over Forex Trading na Betting

    Forex Trading, Aviator Online Gaming (Kindege) na Betting ni vitu tofauti lakini concept na outcomes zake ni kutengeneza au kupoteza pesa. Ni psychological game ambayo inafanya kazi. Kwa kutumia Formula ya Fibonacci Sequence ( i.e 1,1,2,3,5,8,13,21....) ambayo inatumika kwenye Forex Trading...
  15. Isenye

    JamiiForums Tanzania Kuitwa interview Gaming board of Tanzania.

    Habari wapambanaji wenzangu. Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari. Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga. Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
  16. Joseph 44

    JamiiForums Tanzania Naomba Mnisaidie Kujuzwa Kuhusu Gaming Pc Yenye Graphic Card Ya Gtx 1650 4 Gb

    Jamani poleni nakazi na mihangaiko ya hapa na pale wakuu. Kama nilivyosema mimi ni mpenzi wa games sasa kuna gaming pc nimeipata mshikaji anaiuza hana hela kaishiwa ina graphic card aina ya GTX 1650 4 GB sasa nilikuwa nauliza hii gaming pc inaweza kucheza magame ya ps5 Maana hamu yangu ni...
  17. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Gaming PC hii hapa

    sold
  18. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Gaming pc naiuza kwa bei ya Januari

    sold
  19. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji gaming PC, Kwa Tanzania ni wapi wanauza au ku build custom PC?

    Ninahitaji custom Pc ikiwezekana ziwe za mtumba Ninahitaji kichwa cha custom cpu, Monitor ipo ya kawaida. Budget niliyonayo ni laki 8 hadi milioni 1 Matumizi ni ku edit video pamoja na kuchezea games zifuatazo Euro Truck Simulator 2 MINIMUM: OS: Windows 10 64-bit Processor: Intel Core...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Usaili Gaming Board Tanzania

    Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
Back
Top Bottom