Wapi nitapata badhaa kama hizi

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,956
2,072
Watanzania wenzangu nauliza wapi nitapa bidhaa zenye ubora kama mikate ya siha,maziwa ya kcc,juice za tanglod,beef za tanganyika packers,tanbond,superghee e.t.c kiwanda gani kinatengeneza bidhaa kama hizi hapa tz leo hii
 
Wasiliana na Quality Groups Ltd...., nadhani ni zaidi ya wale uliowasema. Umesahau pia juisi ya kudilute ya Fruto..
 
kweli siku hizi tunakula vitu vichafu vivyokuwa na ubora,huwezi kulinganisha na bidhaa za zamani
 
sasa hivi kuna bidhaa ambazo zinakuwa sourced na Unilliver .... ni haya ma blueband, korie na kadhalika yaani yote haya ni edible ...natural ingredients kidogo sana
 
Back
Top Bottom