Wapi nitabadilisha pesa ya euro (coins)?

Wapi nitabadilisha pesa ya euro (coins)?

Time Traveller

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
314
Reaction score
305
Habari wakuu,

Nina coins kadhaa za euro 2, nimejaribu kwenye haya maduka ya bureau de change wameniambia hawabadili coins wao ni note tu.

Kwa wajuzi wa mambo ni wapi naweza kuzibadili na kupata pesa ya bongo?
 
Back
Top Bottom