Wapi nitaangalia mechi zote za EPL zote bila fujo

Wapi nitaangalia mechi zote za EPL zote bila fujo

Babu Kijana kuna vibanda umiza vingi tu uswazi we muulize boda boda yeyote atakupeleka. Kama uko vizuri kiaina nenda pale sport lounge posta jirani kabisa na mnara wa askari kazicheki izo gemu. unaweza pia ukanikuta pale gemu ya saa moja na nusu leo
Asante kaka vp maeneo ya sinza hakuna pazuri?
 
Last edited by a moderator:
East Africa kwa hapa Moshi nlifurahi sana namna mashabiki wa Man United na Chelsea wanavyootaniana
 
East Africa kwa hapa Moshi nlifurahi sana namna mashabiki wa Man United na Chelsea wanavyootaniana

Nakuja huko mwezi ujao! utakua mwenyeji wangu ....... na utanielekeza wapi nawezapata totoz nzuri za kichaga.

Grand PA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom