Wapi nitaangalia mechi zote za EPL zote bila fujo

Wapi nitaangalia mechi zote za EPL zote bila fujo

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Wadau nipo dar ni mgeni kidogo natafuta mahali pazuri ninapoweza kukaa na mchuchu wangu huku tukiangalia mechi za EPL zote kuanzia zinazorushwa S3 mpaka S7 na screen ziwe za kutosha bila kutunetune chanels.

Weekend itaenda vizuri leo.

Nahitaji msaada wenu.
 
Raha a mpira fujo, ndo maana tunatoka majumbani kwetu tukafurahi na wapenda soka wenzetu
 
Mzazi chukua dstv fasta funga getoni kwako utaziaangalia zote bila chenga!!!!!
 
Hivi malipo ya mwezi kwa Dstv ni sh ngapi, ili kuweza kuona game za EPL???
 
Wadau nipo dar ni mgeni kidogo natafuta mahali pazuri ninapoweza kukaa na mchuchu wangu huku tukiangalia mechi za EPL zote kuanzia zinazorushwa S3 mpaka S7 na screen ziwe za kutosha bila kutunetune chanels.

Weekend itaenda vizuri leo.

Nahitaji msaada wenu.
bado uko na mambo ya kwenda kwenye misongamano tu mpaka leo ,kuwa mstaharabu tafuta dstv kaa kwako uko mkuu utapata ebola
 
Wakuu dstv ninayo home ila mara nyingi napenda kuchill sehemu nienjoy na frnds na watu mbalimbali, leo sijisikii kukaa home.!
 
Kaka ungekua na yako kwa rum ingefaa...
Ila kwa msaada tu njo mpaka magomen mikum ka wapafaham kuna ukumbi waitwa PERLA STADIUM.. hata la liga utaona
 
Kaka ungekua na yako kwa rum ingefaa...
Ila kwa msaada tu njo mpaka magomen mikum ka wapafaham kuna ukumbi waitwa PERLA STADIUM.. hata la liga utaona
Sawa kaka ila napenda sehemu yenye viburudisho, hapo vinapatikana?
 
Babu Kijana kuna vibanda umiza vingi tu uswazi we muulize boda boda yeyote atakupeleka. Kama uko vizuri kiaina nenda pale sport lounge posta jirani kabisa na mnara wa askari kazicheki izo gemu. unaweza pia ukanikuta pale gemu ya saa moja na nusu leo
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom